Kwenye uzi huu tujadili kauli zenye athari hasi za Rais Samia.
Mimi naanza na kauli yake kwamba kutokana na vita ya Urusi na Ukraine anakosa namna ya kuzuia vitu visipande bei. Tangu atoe kauli hiyo lita 3 ya mafuta ya kula ya sun flower inauzwa 25,000. Box ya ream paper inauzwa 80,000 na inavyoonekana baada ya wiki mbili itauzwa 100,000.
Yaani mama katuingiza kwenye mfumo wa LAKI SI PESA mapema sana, inauma.
Tuendelee kuongeza kauli zake zenye kuathiri uchumi na siasa.