Kauli za RC Mulongo ni Uchochezi Mtupu

Kauli za RC Mulongo ni Uchochezi Mtupu

Dar Express

Member
Joined
Apr 1, 2014
Posts
46
Reaction score
4
Wanajamvi

Akizungumza hapo jana katika siku ya wafanyakazi duniani mkuu wa mkoa wa Arusha Magesa Mulongo amesema kuwa mlipuko wa bomu ktk baa ya Night Park Mianzini sio ugaidi bali ni njama za kikundi cha watu wenye malengo maalum ktk jiji la Arusha.

Hii kauli niliitafsiri kuwa analenga upande wa pili kisiasa huku ikifahamika kuwa cheo chake kina UKADA WA CHAMA TAWALA.

Najiuliza kuwa iweje Mulongo awe polisi na mahakama?
 
Kwa nini aingize siasa katika UHALIFU wa kawaida?

kuna tatizo kubwa la watanzania kutofahamu masuala mengi,kwa ufupi yeye ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa-taarifa zote za kiusalama kwa kila mwezi upelekwa kwake
 
Mbona kama vile unajihisi? Unajuaje kuwa ni uhalifu wa kawaida. Inabidi uhojiwe unaweza kuwa na msaada kwa wapelelezi. By the way kauli iliyotolewa ni ya kawaida sana ambayo haina haja ya kujihisi unless u know something in details.
 
Wanajamvi

Akizungumza hapo jana katika siku ya wafanyakazi duniani mkuu wa mkoa wa Arusha Magesa Mulongo amesema kuwa mlipuko wa bomu ktk baa ya Night Park Mianzini sio ugaidi bali ni njama za kikundi cha watu wenye malengo maalum ktk jiji la Arusha.

Hii kauli niliitafsiri kuwa analenga upande wa pili kisiasa huku ikifahamika kuwa cheo chake kina UKADA WA CHAMA TAWALA.

Najiuliza kuwa iweje Mulongo awe polisi na mahakama?

Kwa nini aingize siasa katika UHALIFU wa kawaida?

Ni kweli MKUU. Halafu anaonesha kuwa shule yake ni ndogo sana aliposema "Hilo bomu sio la Magaidi kwa sababu limetengenezwa kienyeji". Kwa akili yake ni kuwa gaidi ni lazima atumie bomu ambalo linatoka nje ya nchi (imported). 'Argument' ya kipuuzi kweli kweli
 
Wanajamvi

Akizungumza hapo jana katika siku ya wafanyakazi duniani mkuu wa mkoa wa Arusha Magesa Mulongo amesema kuwa mlipuko wa bomu ktk baa ya Night Park Mianzini sio ugaidi bali ni njama za kikundi cha watu wenye malengo maalum ktk jiji la Arusha.

Hii kauli niliitafsiri kuwa analenga upande wa pili kisiasa huku ikifahamika kuwa cheo chake kina UKADA WA CHAMA TAWALA.

Najiuliza kuwa iweje Mulongo awe polisi na mahakama?

Kwa hiyo mkiwa ni kikundi fulani chenye malengo maalum mkiripua na kuua watu inakuwa siyo ugaidi? need to re think
 
Wanajamvi

Akizungumza hapo jana katika siku ya wafanyakazi duniani mkuu wa mkoa wa Arusha Magesa Mulongo amesema kuwa mlipuko wa bomu ktk baa ya Night Park Mianzini sio ugaidi bali ni njama za kikundi cha watu wenye malengo maalum ktk jiji la Arusha.

Hii kauli niliitafsiri kuwa analenga upande wa pili kisiasa huku ikifahamika kuwa cheo chake kina UKADA WA CHAMA TAWALA.

Najiuliza kuwa iweje Mulongo awe polisi na mahakama?

Kwani magaidi siyo kikundi cha watu? hawana malengo maalum?
 
Kikundi cha watu wenye malengo yao nadhani alimaanisha wale wanaoanzishaga fujo kila kukicha hapa Arusha alipatia
 
kuna tatizo kubwa la watanzania kutofahamu masuala mengi,kwa ufupi yeye ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa-taarifa zote za kiusalama kwa kila mwezi upelekwa kwake
ni kweli, binafsi nashawishika kuamini kuwa wana Arusha wana hujumiwa na selikali yao.
 
hivi nyie mnaotoka povu, ni wakazi wa arusha. Mfano bomu lilotokea juzi ma ....ta...ko.... BAR Kuna asiyejua kuwa hila za kibiashara,
 
Wanajamvi

Akizungumza hapo jana katika siku ya wafanyakazi duniani mkuu wa mkoa wa Arusha Magesa Mulongo amesema kuwa mlipuko wa bomu ktk baa ya Night Park Mianzini sio ugaidi bali ni njama za kikundi cha watu wenye malengo maalum ktk jiji la Arusha.

Hii kauli niliitafsiri kuwa analenga upande wa pili kisiasa huku ikifahamika kuwa cheo chake kina UKADA WA CHAMA TAWALA.

Najiuliza kuwa iweje Mulongo awe polisi na mahakama?
Cc Daud Albert Bashite

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom