Wakati huo huo, Katibu Mkuu wa chama hicho, Bw. Yusuf Makamba alisema ushindi wa mwanawe, Bw. January Makamba katika Jimbo la Bumbuli ulikuwa wa lazima na iwapo angeshindwa ilikuwa ni fedheha kwake na kwa chama hicho.
Alisema kijana wake alipokuwa akigombea kuchaguliwa na chama hicho kukiwakilisha katika Uchaguzi Mkuu hakuwa January kama January bali alikuwa mtoto wa Katibu Mkuu wa CCM, hivyo ilikuwa lazima ashinde.
Source-Majira
Shelukindo alishalalamika tena kwa maandishi lakini kesi ya kumshtaki makamba unaipeleka kwa makamba, unafikiri utashinda. Hata kama ni jopo la kusikiliza kesi hiyo watakuwepo akina nani?- Chenge, Rostam, Makamba JK, na wote ambao shulukindo aliwalipua wakati akiwa katika kamati ya madini na nishati - hakika hawawezi kumtendea haki!Kazi kweli kweli,shellukindo umeyasikia hayo!!!!!!!!!kakate rufaa kwenye kamati yenu ya uteuzi.ndugu zangu wakati mwingine watu huzeeka vibaya hivyo tusimlaumu sana mzee makamba kwani uwezo wa kifikiri ya kuongea nadhani unapungua kila siku.
Shelukindo alishalalamika tena kwa maandishi lakini kesi ya kumshtaki makamba unaipeleka kwa makamba, unafikiri utashinda. Hata kama ni jopo la kusikiliza kesi hiyo watakuwepo akina nani?- Chenge, Rostam, Makamba JK, na wote ambao shulukindo aliwalipua wakati akiwa katika kamati ya madini na nishati - hakika hawawezi kumtendea haki!
Malalamiko ya shelukindo haya hapa:
....Alisema kijana wake ...hakuwa January kama January bali alikuwa mtoto wa Katibu Mkuu wa CCM, hivyo ilikuwa lazima ashinde.
Source-Majira
Wakati huo huo, Katibu Mkuu wa chama hicho, Bw. Yusuf Makamba alisema ushindi wa mwanawe, Bw. January Makamba katika Jimbo la Bumbuli ulikuwa wa lazima na iwapo angeshindwa ilikuwa ni fedheha kwake na kwa chama hicho.
Alisema kijana wake alipokuwa akigombea kuchaguliwa na chama hicho kukiwakilisha katika Uchaguzi Mkuu hakuwa January kama January bali alikuwa mtoto wa Katibu Mkuu wa CCM, hivyo ilikuwa lazima ashinde.
Source-Majira
Wakati huo huo, Katibu Mkuu wa chama hicho, Bw. Yusuf Makamba alisema ushindi wa mwanawe, Bw. January Makamba katika Jimbo la Bumbuli ulikuwa wa lazima na iwapo angeshindwa ilikuwa ni fedheha kwake na kwa chama hicho.
Alisema kijana wake alipokuwa akigombea kuchaguliwa na chama hicho kukiwakilisha katika Uchaguzi Mkuu hakuwa January kama January bali alikuwa mtoto wa Katibu Mkuu wa CCM, hivyo ilikuwa lazima ashinde.
Source-Majira
Namkumbuka Philip Mangula. Yule bwana alikuwa anajua anachokifanya and he was serious with the serious business. Kikwete alifanya kosa la aina yake kumtosa yule bwana. Nasikia sasa hivi ni mshauri wa Rais Zuma kuhusu mambo ya kisiasa. Na tayari yupo Africa kusini.
Bahati mbaya sana huwa hachagui maneno ya kuongea ....
Namkumbuka Philip Mangula. Yule bwana alikuwa anajua anachokifanya and he was serious with the serious business. Kikwete alifanya kosa la aina yake kumtosa yule bwana. Nasikia sasa hivi ni mshauri wa Rais Zuma kuhusu mambo ya kisiasa. Na tayari yupo Africa kusini.
huyu mtu sijui JK alimtoa wapi! Bila shaka Jk atakuwa anaona aibu tu kumwondoa, nahisi baada ya uchaguzi hatamrudisha tena. Real hana sifa za nafasi aliyonayo. alitakiwa awe Mzee wa propaganda kama Tambwe Hiza, kwani hachagui hata lakusema.
Hivi wajumbe wa NEC wakiamua kumkata mwanae jina lake na kumrudisha mzee Shellu atakuja na kauli gani tena?