Kauli ya wabunge watuhumiwa ni Tata.

Mwanitu

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
1,036
592
Nimeshindwa kuwaelewa wabunge watuhumiwa wa rushwa wa kesi inayoendelea mahakamani kwa sasa wanapotuomba wananchi tuwaombee na wanapoimba hapa kazi tuu.je wanaomba msamaha na kukiri kiaina au anamaanisha nini?mwenye kuwaelewa atujuze tafadhali.
 
Back
Top Bottom