Kigarama
JF-Expert Member
- Apr 23, 2007
- 2,492
- 1,230
Akiwa wa Mwisho kumaliza mbio za Marathoni zilizoshirikisha wakimbiaji 75 huko Mexico John Stephen Akwhari (Huyu ni Mtanzania Jamani) Alipoulizwa ni kwa nini amendelea kukimbia ilihali ameumia Goti na anavuja damu. Akwari alijibu "My country did not send me 10,000 miles just to start the race; they sent me to finish the race."
Nataka mtu yeyote anayetaka kuwa Rais wangu mwaka 2015 aje na kauli hii na kwa dhati tukimtazama awe anafanana nayo ila yeye aseme "wananchi wa Tanzania hawakunichagua ili niwe rais wao, bali wamenichagua niutumikie urais kwa faida yao"
Namshukuru SlidingRoof kwa kutukumbusha kisa hiki cha shujaa wetu Akwhari!