Kauli ya Pinda

Lyandembela1

JF-Expert Member
May 10, 2013
277
112
Heshima mbele wakuu,

Tafadhali wataalam tunaomba mtuwekee ile kauli ya Pinda kuhusu Polisi kuchapa Raia kwa njia ya Youtube

ili tuweze kudownload kiurahisi.

Lyandembela 1 nawasilisha.
 
ninayo ile video kwa ufupi ila kila nikijaribu kui-upload hapa JF naona haitaki, nilitumiwa na Mpwa wangu Mohamedi Mtoi, ntajaribu tena ikikubali utaiona ni ya sekunde 32
 
Last edited by a moderator:
Wekeni bana, dunia ijue jinsi baadhi ya raia wanaopewa madaraka wanavyokuja kubadilika na kuwa madikteta.
Kuna mtu ataamini kwasasa kuwa huyu MKPP ni mtoto wa mkulima kweli?
 
Back
Top Bottom