Busara zipi hizo mkuu za Mufti ambaye ameshindwa hata kujenga chuo,hospital,chuo kikuu,hata TV pia imemshinda kuanzisha.Acha kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa kwa manufaa ya watawalaMufti na Pengo ndio viongozi wa dini pekee wenye akili na upeo mkubwa wa uelewa wa demokrasia maana yake nini.Tamko la Mufti Liko sawa na Pengo.Watu wasome katiba na waamue wenyewe wapige kura gani.
Asante Mufti mzee wa busara kwa tamko lenye hadhi na linaloachia demokrasia ifanye kazi.Sababu demokrasia huwezi mchagulia mtu appige kura ipi kama walivyofanya wale tamko la maaskofu.
Nyie wazee wawili Mufti na mzee Pengo tunasikia raha kuwa nanyi kama wazee wetu.Asante MUFTI KWA TAMKO HILI.
Busara zipi hizo mkuu za Mufti ambaye ameshindwa hata kujenga chuo,hospital,chuo kikuu,hata TV pia imemshinda kuanzisha.Acha kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa kwa manufaa ya watawala

hapo kwenye red, kabla ya kuahirishwa...watu wangesoma lini hiyo katiba pendekezwa na kufanya maamuzi yao wenyewe? wewe mwenyewe sidhani kama una nakala ya katiba pendekezwa, walioisoma na kufatilia upatikanaji wake wanaona imejaa mizengwe ndo maana wakaja na hayo mapendekezo. pia kumbuka katiba inaandikwa kisheria,....hivo bila kuwa na taaluma ya hiyo fani utaishia kuona tu kwamba 2+3=5 kumbe + mara nyingine ni xMufti na Pengo ndio viongozi wa dini pekee wenye akili na upeo mkubwa wa uelewa wa demokrasia maana yake nini.Tamko la Mufti Liko sawa na Pengo.Watu wasome katiba na waamue wenyewe wapige kura gani.
Asante Mufti mzee wa busara kwa tamko lenye hadhi na linaloachia demokrasia ifanye kazi.Sababu demokrasia huwezi mchagulia mtu appige kura ipi kama walivyofanya wale tamko la maaskofu.
Nyie wazee wawili Mufti na mzee Pengo tunasikia raha kuwa nanyi kama wazee wetu.Asante MUFTI KWA TAMKO HILI.
Mufti na Pengo ndio viongozi wa dini pekee wenye akili na upeo mkubwa wa uelewa wa demokrasia maana yake nini.Tamko la Mufti Liko sawa na Pengo.Watu wasome katiba na waamue wenyewe wapige kura gani.