Kauli ya Mh. Raisi kuhusu mkopo

Kauli ya Mh. Raisi kuhusu mkopo

Joined
Sep 7, 2016
Posts
97
Reaction score
65
Haya ndiyo aliyosema Mh rais
a68e770a56d517f75b930373e1d27836.jpg
 
Elimu yetuf bado ina safari ndefu.
Kuna changamoto kubwa sana katika utambuzi wa nani mwenye uwezo na nani hana uwezo.
Fine hao wasio na uwezo ndiyo wana deserve mgawanyo huo wa 350/=!!!
 
Sasa hapo ametatua tatizo au ndo siasa zenyewe!!! Yaaan nahisi hadi kutapika walaaahi
 
hahaha..kumbe nayeye anajua kubebana kupo...

ila mbona kama wembe ni uleule tu
 
Back
Top Bottom