Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,551
- 47,206
kwa muda mrefu sasa vyama vya upinzani vimekua vikiwekeza sana katika vijana ambao wamekua wakikaa vijiweni bila kujishughulisha.
Unakuta vijana wanaamka asubuhi wanaenda vijiweni kucheza karata, bao, draft na pool kama kamari.
Wakati wakiendelea na michezo yao basi huibua mijadala ya kuilaani serikali kuwa ndio iliyowaweka katika hiyo hali wakati wameacha mapori na mapori bila kuyafanyia kazi.
Watu kama hawa ni wavivu tu na ni sahihi kama anavyosema Magufuli kuwa wakumbushwe kuwajibika hata kwa nguvu.
Kwa kuwa sasa kila mtu atakua busy kwenye kuzalisha UKAWA watakosa watu wa kuwadanganya na kuwatumia kisiasa.
Nashukuru Magu kwa kuliona hili.