Kauli ya Kizalendo: Nimeipenda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kauli ya Kizalendo: Nimeipenda

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ibange, Mar 1, 2011.

 1. i

  ibange JF-Expert Member

  #1
  Mar 1, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kauli ya kizalendo ya waandamanaji libya nimeipenda sana. Ikifika siku TZ tukatoa kauli kama hii tutakuwa tumefikia stage ya 'real freedom'.

  "We're not here for power, authority or money," they said in a message aimed at Col Gaddafi.
  "We are here for the cause of freedom and the price we are willing to pay is with our own blood. It's victory or death."
   
 2. P

  Pokola JF-Expert Member

  #2
  Mar 1, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 717
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Nimeipenda sana. Nitamwambia JK kipenga kikilia!!
   
 3. MwanaCBE

  MwanaCBE JF-Expert Member

  #3
  Mar 1, 2011
  Joined: Sep 23, 2009
  Messages: 1,773
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  Meseji imejaa kila hali ya uzalendo. Nzuri saaaaaana.
   
 4. S

  Salimia JF-Expert Member

  #4
  Mar 1, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 665
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hivi POKOLA labda nikuulize kidogo,, hicho kipenga unadhani nani atapiga? Wa kumfunga paka kengele nani? Mimi ungenibariki sana ukiwa wewe utakuwa wa kwanza kupuliza hicho kipenga. Halafu natamani ningekuona baada ya hapo ukitoka nduki kweli kweli pale FFU wakiingiza timu yao. Si mchezo.
   
Loading...