Kauli ya Kikwete Vs Mfumo wa Taarifa

Kauli ya Kikwete Vs Mfumo wa Taarifa

The Planner

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
357
Reaction score
119
Jana wakati mwenyekiti mteule wa CCM, Dr. JM Kikwete akihutubia mkutano mkuu aligusia suala la mawasiliano na umma, alisema simu zake zinamsaidia sana kupata kinachoendelea huku uraiani.,na akasema mara nyingine huwa hajui kinachoemdela huku! Hapo ndipo tatizo langu la msingi linapojitokeza.,mimi nilidhani kwa kuwa na baraza kubwa la mawaziri basi kila sector iko well covered hivyo matatizo katika sector mbalimbali yatamfikia kupitia watendaji au mawaziri wa wizara husika zinazosimamia hizo sector. Or else nilidhani UWT na vyombo vingine vya habari vinampa mheshimiwa rais updates zote muhimu nn kinachoendelea huku kwetu! But Mmmh kwa kutegemea simu za watu ndo upate habari mkuu rais wangu ameonyesha udhaifu mwingine uliopo katika system yake!
 
Huwa anawasiliana na watu wa kawaida kabisa na kuwauliza hali ya siasa na upepo ukoje, watu wanasemaje kuhusu hotupa fulani au action fulani nk. hii ni kutokana na kua mfumo wa habari unaegemea upande mmoja, watu wake wanapenda kumwambia yale ambayo akiyasikia yanamfurahisha na sio hali halisi
 
utendaji na mawasiliano kupitia simu ya mkononi ya rais, mh nadhani anatakiwa ajiulize kwa wenzake simu ya rais inatumika namna gani, kwani hata wale walio na mambo ya kipuuzi watapiga au kutuma sms. haiwezekani rais apigiwe na kila mtu, ingetakiwa apokee mtu wa kujua nani anapiga na ana shida gani, ndipo ipite na kumfikia rais.
 
Unaweza kumpigia na kumwambia "Du ile suti yako nyeusi kali" ndo watu wanavyosema huku mtaani!
 
Ukiona Rais wa Nchi anatamani kusikia direct from wananchi, basi ujue mfumo mzima wa Mawasiliano katika Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu haiko sawa! Au Usalama wa Taifa na Vijana wa hotline ya Rais hawatekelezi wajibu au hawaaminiki tena!
 
uwezo wake wa kufikiri ndo umefikia pale alafu mtegemee mabadliko makubwa ya kiuchumi never hapen kwa system ya namna hii
 
Back
Top Bottom