Matata ni jembe ulaya. Haogopi kufanya kazi yke ya kuwaletea wananchi maendeleo. Wauwaji wa chadema watashindwa tu
Ushabiki wa kipuuzi huu,ni ushabiki wa kijinga huu,ni aibu kubwa,ni laana kushabikia jambo tu wa sababu ya njaa zako,kumbuka ushabiki huu una lengo la kuendelea kuwanyonya,kuwakandamiza,kuwapuuza,kuwaibia,kudhulumu watanzania.
Nayasema haya,kutetea msimamo wa chama changu kumfukuza Henry Matata.
Kwenu nyinyi msiojua au mnajua lkn ni kwa sababu ya ujinga tu,ni hivi mtu kama Ifweero kuita chadema ni chama cha wauaji huku akimsifia Matata,ni kitendo cha kitaahira.wakazi wakongwe wa Mwanza wanamjua Matata ni nani,waulize watu wa Mwanza waliokuwepo miaka ya 80,watakwambia vitendo vya Matata.
Huyo kazamisha watu ziwani enzi za biashara ua bia za magendo kutoka Kenya,wakipitia Kisumu,hiyo Magnum club unayoiona hapo Ghana ya chini karibu na CCM kirumba ilipatikana kwa kutoa roho za watu.
Matata ni hatari sana kuliko mnavyodhani na ndio maana chadema alifukuzwa.