Kauli ya Diwani Henry Matata wa Kata ya Kitangiri Ilemela leo 14/12/2013 Mchana

Ivi bavicha inakuhudhi sana? mbona sisi tangu tuwafukuze akina shonza et al tshasahau? nimefuatilia kila post yako lzm uiongee vibaya bavicha, acha chuki na ngenye wewe mwanamke una mda gani hawaja kuDO?

Yeah! Ni sera ya kunywa gongo na viroba hiyo inayokutuma kutukana!
 
Matata kapurwa huyu hana jipya fisadi mwizi hana jipya huyo upeo wake mdogo sana azibiti mboe huyu anamjua mwenyekiti huyu kapurwa wa mahakama wewe
 
Matata ni jembe ulaya. Haogopi kufanya kazi yke ya kuwaletea wananchi maendeleo. Wauwaji wa chadema watashindwa tu

Ushabiki wa kipuuzi huu,ni ushabiki wa kijinga huu,ni aibu kubwa,ni laana kushabikia jambo tu wa sababu ya njaa zako,kumbuka ushabiki huu una lengo la kuendelea kuwanyonya,kuwakandamiza,kuwapuuza,kuwaibia,kudhulumu watanzania.
Nayasema haya,kutetea msimamo wa chama changu kumfukuza Henry Matata.
Kwenu nyinyi msiojua au mnajua lkn ni kwa sababu ya ujinga tu,ni hivi mtu kama Ifweero kuita chadema ni chama cha wauaji huku akimsifia Matata,ni kitendo cha kitaahira.wakazi wakongwe wa Mwanza wanamjua Matata ni nani,waulize watu wa Mwanza waliokuwepo miaka ya 80,watakwambia vitendo vya Matata.
Huyo kazamisha watu ziwani enzi za biashara ua bia za magendo kutoka Kenya,wakipitia Kisumu,hiyo Magnum club unayoiona hapo Ghana ya chini karibu na CCM kirumba ilipatikana kwa kutoa roho za watu.
Matata ni hatari sana kuliko mnavyodhani na ndio maana chadema alifukuzwa.
 
Yeah! Ni sera ya kunywa gongo na viroba hiyo inayokutuma kutukana!

ccm huwa mnanichekesha sana kwa akili zenu kiduchu, hivi hiyo nayo mshaichukua kama mada! Kweli heri kuwa mjinga usiye soma kuliko kuwa mjinga ulie soma gongo na konyagi tofauti ni ninini?au kwa vile ya konyag inakaa kwenye chupa na gongo inakaa kienyeji? ndio na nyie mmeona hoja ya kupigia madogo huku mkisahau sera yenu ya ubakaji na uuzaji sembe ambayo ni hatari zaidi ya gongo.
 
Inamaana yeye kazi yake ni kuzuia mikutano ya cdm tu ilhali ipo kisheria?kama ndo aliwa hakikishia ccm kuwa anao uwezo huo wanampoteza...halafu why ccm wa naogopa uchaguzi wowote Mwanza.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom