MLAU
JF-Expert Member
- Aug 23, 2007
- 4,726
- 3,358
Magazeti ya Leo yameibuka na taarifa tofauti kuhusu madawa ya kulevya iliyotolewa na Rais Magufuli Ikulu siku ya Jumapili alipokuwa akiwaapisha Kamishina wa Mamlaka ya kuzuia na Kudhibiti madawa ya kulevya Kamishina wa Uhamiaji na Mabalozi watatu.
Waandishi waliokuwepo Ikulu ni kweli Magufuli ametoa kauli tofauti kuhusu vita ya madawa ya kulevya au ndiyo kila Mwandishi ametoka na Angle yake.
Nimeona ktk Magazetini ya Leo kuna taarifa Hasi na Chanya na zote zinaonekana zimetoka ktk source moja ndiyo shida yangu????!!!!??