Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,907
- 1,082
chenye utata ni nini hapo? Au kinachowashangaza ni nini? Ningeandika mimi hayo maneno, mngeyaleta hapa yajadiliwe? Mchukulieni Ridhiwani kuwa ni mtanzania kama mlivyo watanzania ninyi, hakuna sababu ya kumkosesha usingizi na kumnyima raha ya kutoa maoni yake kwa kuwa tu ninyi mnaquestion hata vijineno vidogo vidogo kama hivi! Hiyo kauli yeyote yule angeweza kuisema na wala isingehitaji mjadala. Tuache kuwapa watu popularity wasiyostahili.
Kama vipi potezea basi. Umeshakula ze laga unakunya hapa best wangu.Una akili wewe!, safi sana,hebu agiza ndovu baridi mkuu nakuja kulipa, kama unavyojua pamoja na Jf kuwa home of great thinkers but there are those who are not worth a title. sioni mantiki ya kujadili kauli ya Riz1 aliyoitoa Fb
Hii ni kauli ya Ridhiwani Kikwete katika group ya Chadema vs ccm
"Kwa matokeo haya , sio kweli kuamini kuwa wapinzani wetu wanapanda, ila ni sahihi kujiangalia na kujiuliza kwa nini tumeshuka?"