Kauli tata ya Amos Makala juu ya virus vya ebola na mpox

Kauli tata ya Amos Makala juu ya virus vya ebola na mpox

MwajabuOmary

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
2,038
Reaction score
2,948
Kama kuna kauli za hovyo zilizotolewa katika kipindi hiki, basi hii ya CCM imekua too much na imepitwa na wakati to the maximum.

Tungekua tumekwenda shule na tukaelimika basi CCM sasa hivi angekua uswahilini anatafakari kilimo cha migomba. Lkn uswaiba umetujaa na ndio maana Makolo bado yupo anatamba.

Kitendo hiki cha Ukimya bwa mabosi zake ukinyumbulisha utaona wazi kwamba ni msimamo wa chama chao kwamba nenda kayaseme haya na ndio maana wako kimya.

Mguse uone cha moto wakati Kolo ndio chaguo lao.

Tujikumbushe kidogo ya nyuma juu ya uchaguzi wa serikali za mitaa. Vyama vya siasa vilipiga kelele mpaka basi, taasisi za kidini , mashirika yasiyo ya kiserikali lakini zaidi ya yote lengo lao wanajimwambafai kwamba walipata ushindi wa kishindo.

Soma Pia: Makalla: CHADEMA wanataka kuingiza Ebola Tanzania ili wazuie uchaguzi!

Hapakua na kauli yoyote kutoka kwa mabosi juu ya ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi na lilipaswa kuwa hivyo kwa kuwa ni msimamo wao. Watu wapigwe risasi, watekwe, wawekwe jela (NON OF THEIR BUSINESS).


Ukiwauliza watakujibu that is Political Science by Chala' RC
 
Back
Top Bottom