Elections 2010 Kauli mbiu ya lowassa ni tofauti na ya ccm?

ICHONDI

JF-Expert Member
Dec 3, 2008
600
134
Kaulimbiu ya Lowassa ambaye anawania tena nafasi hiyo, ni 'tulifurahi pamoja, tukahuzunika pamoja, tutasonga mbele pamoja na tutashinda.''
Source Gazeti la Mwnanchi

My Take
Mheshimiwa Lowassa??? Hee kweli wajinga ndio waliwao. Hiyo Kauli mbiu inakosa kitu kimoja, kuwa "Tulifisadi pamoja" Wananchi wa Monduli, msidanganyike, JK amemuangukia Lowassa baada ya kuona mambo ni magumu kwake, na atamtia pahala pabaya mkimchagua. Wana Monduli, muogopeni Mungu, Lowassa amewakosea sana, hamkutuma kufisadi nchi, mlimtuma akawatetee. Leo hii anawaambia tulifurahi, tulihuzunika na tutasonga mbele, mbona hawaambii kuwa mlistarehe pamoja? au mlifisadi pamoja? Kitendo cha yeye kujiuzulu U-PM sio kitendo kidogo Wana Monduli!! Is shame and hiyo shame bado anayo, namshangaa anagombea ubunge, hawa watu ni wanafiki sana. Mbona Sumaye alijiachia hayo mambo akapumnzika?

Wakati yeye akila mikuku na kufisadi nchi, nyie mlikuwa wapi? Politicians jamani the best place for them ni kuzimu, wanadanganya watu kweupe bila woga wa Mungu-- Where is God!! Why God has forsken Tanzania?
 
I wonder why Lowassa is still on, I wont be surprized to see him being elected as a PM if he wins the MP so is JK....
 
ndio wale wale...leo maaduwi wakti wa uchaguzi wanakuwa heros...watanzania bana...!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom