Masikini na Umasikini ni vitu viwili tofauti sana. Moja ni mtu na la pili ni hali. Ila swali lako la msingi linabaki palepale mkuu.
Je anawapenda masikini ? na ameshafanya nini kwa hao maskini over past 15 years. Toa ule miaka baada ya kufukuzwa uwaziri mkuu.
huna hoja na nina wasiwasi na akili yako!!!
Wadau, nimejaribu kuidadisi na kuichambuwa kwa kina kauli mbiu ya Mh. Edward Lowasa kuwa "ANAUCHUKIA UMASIKINI" nahisi ina utata na pengine ni ishara ya kumjuwa ukweli wa moyo wake.
Hebu tujiulize kwa kiswahili sahihi mtu akichukia umasikini ni vigumu kumpenda masikini sababu umasikini ni hali anayokabiliwa nayo mtu masikini. Sasa utawezaje kumsaidia mtu unayemchukia?
Ikiwa kinyume cha umsikini ni utajiri je, kauli hiyo ya kuuchukia umasikini wa masikini walio wengi Tanzania, haitoshi kua​mini kwamba anaupenda Utajiri wa matajiri walio wachache Tanzania?
Watanzania tumshukuru mungu walau hili lowasa kaliweka sawa na tumefunuliwa yaliomoyoni mwake.
Rais wetu ni Lowassa kwa muda mfupi lowasa alipokua madarakani alifunika udhaifu wa serikali ya awamu ya nne ...shule za kata zilijengwa kila kona...folen zlipungua na alkua anahamia kwenye zahanati ambazo zmewashnda kna pnda. ..kina membe walipofanikiwa kumdanganya JK kuwa lowasa anajipanga kuchukua urais 2010 ndio awamu ya nne ilipoyumba ila rais wetu ni Lowassa watake wasitake...ata kipindi cha mkapa viongozi walikula ela ila wananchi wa kpato cha chini walipata ela ata marekani ela inaliwa ila maskini anapata ahuen kuptia obamacare etc lowasa anapenda ktu kzur ata watu wake wa karbu wa kila maendeleo tutayapata...dspensary zilizowashnda kna pnda ataziinua ndani ya miez sta cz lowasa is a commanding leader na anaskkaWadau, nimejaribu kuidadisi na kuichambuwa kwa kina kauli mbiu ya Mh. Edward Lowasa kuwa "ANAUCHUKIA UMASIKINI" nahisi ina utata na pengine ni ishara ya kumjuwa ukweli wa moyo wake.
Hebu tujiulize kwa kiswahili sahihi mtu akichukia umasikini ni vigumu kumpenda masikini sababu umasikini ni hali anayokabiliwa nayo mtu masikini. Sasa utawezaje kumsaidia mtu unayemchukia?
Ikiwa kinyume cha umsikini ni utajiri je, kauli hiyo ya kuuchukia umasikini wa masikini walio wengi Tanzania, haitoshi kua​mini kwamba anaupenda Utajiri wa matajiri walio wachache Tanzania?
Watanzania tumshukuru mungu walau hili lowasa kaliweka sawa na tumefunuliwa yaliomoyoni mwake.
Bila shaka kuna hoja umeiona. reaction yako inazungumza kila kitu