Kauli kama hizi kutoka kwa Kiongozi wa Nchi ni hatari sana kwa ustawi wa demokrasia

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,533
22,278
Statement kama hizi kutoka kwa kiongozi wa nchi ni hatari sana kwa ustawi wa demokrasia na fikra hasi kwa kizazi kijacho:-

Mkurugenzi tunakupa gari na ulinzi pamoja na posho na bado unatangaza wapinzani wameshinda. Hivi mna akili gani ninyi?

Makatibu na wenyeviti mlioshindwa kata nyingi nisisikie mkichukua fomu nyingine katika uchaguzi ujao.

My take:-
Uchaguzi mkuu ujayo kama utakuwepo basi ndio utakuwa uchaguzi hatari kuliko chaguzi zozote zilizowahi kutokea katika historia ya nchi hii.
 
Statement kama hizi kutoka kwa kiongozi wa nchi ni hatari sana kwa ustawi wa demokrasia na fikra hasi kwa kizazi kijacho:-

Mkurugenzi tunakupa gari na ulinzi pamoja na posho na bado unatangaza Wapinzani wameshinda. Hivi mnaakili gani ninyi?

Makatibu na Wenyeviti mlioshindwa kata nyingi nisisikie mkichukua fomu nyingine katika uchaguzi ujao...

My take:-
Uchaguzi mkuu ujayo kama utakuwepo basi ndio utakuwa uchaguzi hatari kuliko chaguzi zozote zilizowahi kutokea katika historia ya nchi hii.
Unajua kuna mtu anayedhani anajenga kumbe anabomoa
 
Inabidi tutamfute kiongozi atakayekuwa anafungua kinywa kuongea na wananchi badala ya mkuu, maana kila akiongea lazima aongee maneno yasiyofaa.
 
Huyu ndie rahisi bora barani afrika kwa kukanyaga maneno
Rahisi ni gharama
 
Statement kama hizi kutoka kwa kiongozi wa nchi ni hatari sana kwa ustawi wa demokrasia na fikra hasi kwa kizazi kijacho:-

Mkurugenzi tunakupa gari na ulinzi pamoja na posho na bado unatangaza wapinzani wameshinda. Hivi mna akili gani ninyi?

Makatibu na wenyeviti mlioshindwa kata nyingi nisisikie mkichukua fomu nyingine katika uchaguzi ujao.

My take:-
Uchaguzi mkuu ujayo kama utakuwepo basi ndio utakuwa uchaguzi hatari kuliko chaguzi zozote zilizowahi kutokea katika historia ya nchi hii.
Lawama zote kwa JK
 
Kauli zake zinaliangamiza taifa. Tuungane kupinga kauli zake za ajabu ajabu. Nilikuwa namuunga mkono lakini kwa kweli tumebughi
 
Kama isingekuwa kinga ya kushtakiwa, kwa kauli hizi za uchochezi ilitakiwa akahojiwe na kufunguliwa mashtaka. Hii kinga inabidi iondolewe na bunge maana huyu mtu ataliangamiza taifa akiachwa aendelee hivi
 
Ni wazi tangu mwanzo alipoaamua kuwateua wakurugenzi mwenyewe tena makada wa chama alilenga uchanguzi wa 2020. Sasa anajaribu kuwakumbusha yatakayowakuta watakaofanya tofauti na matarajio yake.
Jamaa anaendesha nchi kama mali yake binafsi. Anyway, it is a wake-up call for Tanzanians; tumelala sana ngoja tundandikwe viboko ndio tutajua kutetea haki isipotee.
 
Back
Top Bottom