Kauli hizi huleta changamoto BUNGENI

Masanyaraz

Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
41
Reaction score
1
Napanda jukwaani nikikiri kwamba bado ni mchanga humu,naomba mnisaidie hili:nimesikia kauli nyingi zikiongelewa bungeni za kufurahisha na kukarahisha wengine,hivi leo mh.

Halima mdee alipoanza kuchangia hoja kuhusu bajeti;namnukuu hatujaja kuuza sura hapa jingine kuwa na manjuka mwisho wa kunukuu,haya sasa maneno hayo yaliwachoma na kuwagusa wengi kiasi kwa mba mh kawawa akaomba mh mdee afute kauli hizo au kuzirekebisga, lakini kilichotokea alifafanua tu maana ya maneno hayo, nimetafakari binafsi sijapata jibu ndo maana nimelileta kwenu waungwana mnifungue ubongo.
 
Masanyaraz (umeme), Tatizo lako ni lipi? Unadhani hayo maneno hayafai kutumika au hujui maana yake? Lakini unasema Mdee alifafanua maana ya maneno hayo. Sasa kama Bunge limekubali ufafanuzi wake wewe unahoji nini?
 
Masanyaraz (umeme), Tatizo lako ni lipi? Unadhani hayo maneno hayafai kutumika au hujui maana yake? Lakini unasema Mdee alifafanua maana ya maneno hayo. Sasa kama Bunge limekubali ufafanuzi wake wewe unahoji nini?
bunge halikumuunga mkono ndo mana mh kawawa alimcoment,kadhalika katibu wa bunge ila mh mdee akamwambia katibu tusipoteze muda kwa hili,nilichokua na wasiwasi macho ni kuhusu majibizano yatakayo endelea kutokea kuhusiana na misamiati kama hiyo kuendelea kutumika,sijui umenisoma ndugu!
 
Ni kiswahili tu kinakua! unajua maana ya hili neno kwa mfano "Urazini" (Rationale). Sasa Mb. wa chadema akisema hivyo utasikia muuongozo wa spika au kuhusu utaratibu..... kanuni za kudumu za bunge kanuni ya 63 blaa blaaa!

Maana wasipowakatiza hotuba zao ni moto mkali unawaunguza haswaa! Viva chadema, viva Halima Mdeee, Viva Zito kabwe, Viva Mnyika, Viva Tundu Lisu, Viva Kamanda wa anga Mbowe, Viva Dr Slaa, Viva Lema na wabunge wote wa chadema! Tuwapenda sana.
 
NIMEIPENDA Hiyo mwanaharakati.
 
tatzo bungeletu hv sasa limekosa muelekeo yaan limekosa uadilifu hvyo huwa hakunaga muelekeo mana viongozi wetu hawana jipya na ndo mana spika amesema bunge kama kariakoo. Wengi wabunge wetu ni mbumbumbu wa kanun-
 
Kumbe nimegundua kuwa ccm cku hizi haina mwelekeo bungeni, kinacho fanyika ni chuda raha. wanakula vya mwisho make wamesutuka kesho si yao tena. Yaani wamekata tamaa kila kona, hoja hawana, no creativity, baya zaidi hawana habari kuwa mtaani maisha ni machungu muno.

WAKUU NASHINDWA KUJUA TUNAFANYAJE KUMALIZA MACHUNGU YANAYO LIKABILI TAIFA. HUKU MITAANI WENYE VIJISENT TUNASUMBULIWA KUPIGWA MIKUKI(kuombwa). Yaani tunaombwa pesa ya kula mpaka tunabadilisha njia kukwepa ikuki.
 
yaani inatulazimu tusiangushane 2015,kazi ni moja kumuangusha na kumsambaratisha huyu mdudu mnyonyaji aksanje NYANGE.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…