Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 18,015
- 24,960
Najua kipindi hiki cha uchaguzi wasanii wetu wa vikaragozi watatufundisha mengi na kutupa burudani safi kuhusiana na uchaguzi kwa kutumia vikarosi. Ninaomba thread hii itumike kutunza vikaragosi mbalimbali vinavyohusiana na uchaguzi wa 2010; karibuni.