Katuni za Nathan Mpangala nazielewa sana

Tape measure

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2015
Posts
1,990
Reaction score
3,700
Huwa najiuliza uwezo wa huyu jamaa ambaye kila siku huchora katuni na kuonyeshwa ITV baada ya taarifa ya habari ya saa 2 usiku.

Kwa Tanzania sinzani kama ana mpinzani anaeonekana.

Mwingine ni Masoud Kipanya huyu jamaa anaonesha kuna kitu ndani yake kwa level zake sidhani kama anahitaji kuendelezwa na akina Gado...

Hivi kumkashifu mtu kwa kutumia katuni sio kosa kwa mujibu wa sheria ukiwa na cheti cha uandishi wa habari?

Katuni nyingine ni tamu sana wacha tu ziwepo hasa za JPM zinapendwa sana uku kijijini kwetu
 
Hata kapicha????
Una sifa nyingi za uchoyo
 
Katuni za jpm wanachora kidevu hadi kinagusa chini [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…