KujiMWAMBAfy ni neno linalotokana na neno mzizi, MWAMBA. Ambalo lilimaanisha m'babe au mtemi [siyo kama Isike wa Tabora, Bali mwenye nguvu]. Pia mtu ambaye hashindwi, haonewi, hapigwi. Yeye kwa maana nyingine ni mshindi wa kila jambo, hususan yale ya kutumia mabavu.
Nitaleta uzi asili na maana ya huu msimu ambao umeshika kasi ya matumizi hivi sasa.