Katuni ya Rais Magufuli nchini Kenya

Hayo ni makaratasi tu,kesho yatafungiwa chips,sisi tunachanja mbuga sasa.
 
Hayo ni makaratasi tu,kesho yatafungiwa chips,sisi tunachanja mbuga sasa.
kama attitude hii ingetumika kusingekuwa na migogoro hata ya ukuta...bongo mtu angehora hivyo angekoma aiseee
 
UVCCM MUITENI NAPE AKA MFUNGIE HUKO HUKO,KENYA WAKATI TUNA SUBIRI TAMKO KUTOKA KWA MAKONDA..

Tuvunje diplomatic relation with Kenya na kufukuza balozi wao nchini mwetu as soon as possible....otherwise we deserve an apology......

Dikteta uchwara alizani urais ni kutumbua majipu tu. Sasa majipu yameisha, ndo atajua maana ya urais.....naona yupoyupo tu anarandaranda km waziri wa ujenzi..........teh teh. Kazi ipo!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…