Katuni ya Rais Magufuli by Gado

haliwezi kufungiwa. ni ulimwenguni kote a kina vipanya wapo!! cartoons zipo. duhh ameshondwa majama ya sukari!! naoina kimyaaaa- bei elekezi 2,200. mwisho itafikia 3,000. tulieni muone!!
 
haliwezi kufungiwa. ni ulimwenguni kote a kina vipanya wapo!! cartoons zipo. duhh ameshondwa majama ya sukari!! naoina kimyaaaa- bei elekezi 2,200. mwisho itafikia 3,000. tulieni muone!!
huyu jamaa ni anaitwa Gado (jina la kazi) alikuwa anafanya kazi nation media group kuna wakati alichora katuni kwenye gazeti la east Africa likimuonyesha mh raisi wa awamu ya nne akiwa amezungukwa na mabinti ambao hawakuvaa kimaadili gazeti hilo lilifungiwa hapa Tanzania na mwaka huu jamaa alifukuzwa kazi katika ofisi ya nation media kule Kenya kwa sasa anafanya kazi dw...habari ndiyo hiyo
 
ndiyo shida ya miafirka!! twapenda sifa na si kukosolewa. na ndio maana leo hakuna social critque hakuna cortoon wala wasomi tumabakia kutoa misifa!!!! ili tupendwe!1 khaaaaa!!!!
 
hahahaaaa naona jamaa anatoka nduki na panya mpaka kiatu kimechomoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…