Katuni ya leo 13 Oktoba 2021

Binafsi nausubiria kwa hamu uteuzi wa rafiki yangu wa kufa na kuzikana Dj DON NALIMISON! Ni suala tu muda.

Kwa huu umaarufu wake mkubwa alio jipatia hizi siku za karibuni kupitia ngoma zake kali kali, lolote linaweza kutokea.
 
Kwa kweli Mkuu siko tayari kupokea teuzi yoyote. Nitakuwa Ni mjinga Sana kupokea teuzi wakati Nyimbo zangu hazipigwi kwenye TV kwa jina Langu la DJ. Don Nalimison. Uongozi upo tu hata kwenye Sanaa. Nasikitika Sana sitakuwa tayari maana Sina masilahi na vyeo kwasasa.
 
Don kama Don gwiji la muziki wa Africa na Marekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…