Katuni ya Kipanya kwa CHADEMA!

Katuni ya Kipanya kwa CHADEMA!

FTP

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2013
Posts
514
Reaction score
240
kp29112013.jpg

attachment.php

Kuna cha kujifunza?
 
Yakitambo sana ulikuwa wapi mkuu mods tupelekeeni kwenye ile ya awali.
 
Hakuna cha kujifunza na Masoud naye ni msaliti, mhaini, anatumiwa na CCM na pia ni mtu ZZK na usalama wa taifa ( Kwa sauti Tundu Lissu akiwa amesahau dawa zake za ukichaa)
 
Hakuna cha kujifunza na Masoud naye ni msaliti, mhaini, anatumiwa na CCM na pia ni mtu ZZK na usalama wa taifa ( Kwa sauti Tundu Lissu akiwa amesahau dawa zake za ukichaa)

nyie kila mtu anatumiwa na CCM? ngoja Mbowe au slaa wakijiuzulu sijui mtasemaje?
 
Ni kweli ni lazima tuvuke hapa
Tuepukane na huu ugandamizaji
Tuepukane na huu umaskini uliotukuka
Embu ona hii picha kweli huu ni ubinadamu?
Alafu wao wakiugua mafua wanatibiwa India, SA
Watz wengi mno hupoteza maisha kila dakika maana kama hali hii ni Muhimbili je vijijini itakuaje?

attachment.php
 
Hayo ni maoni ya Masoud tu, sasa unaleta hapa una maana Masoud ni mtume au!!
Punguza alcohol mzee!
 
Hakuna cha kujifunza na Masoud naye ni msaliti, mhaini, anatumiwa na CCM na pia ni mtu ZZK na usalama wa taifa ( Kwa sauti Tundu Lissu akiwa amesahau dawa zake za ukichaa)
Masoud Kipanya ni Cartoonist na Kazi Ya Cartoonist ni Kutoa Maoni, Kupongeza, Kusifia na Kukosoa na Kama Ulisoma Interpretative Reporting Utanielewa na Anachokifanya Masoud Kipanya ni Kitu Kiitwacho Pictorial Editorial na Yupo Very Professional. Mbona Siku Zingine Anapokuwa Anasifia Ya Upinzani Huwa Hamsemi? Katika Watu Ninaowakubali basi Masoud Kipanya ni Mmoja Wapo na Nampenda Sana huyu Jamaa tokea Alipokuwa Clouds Fm na Hadi Alipohamia Times Fm Jamaa Amekuwa Juu na Ana Uwezo Mkubwa Mno Wa Kufikiri na Kujenga Hoja na Kuitetea. To Me He is My Mentor na Bahati Nzuri Tupo ktk Same Profession.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom