Katuni inasema...

Hahaha...badala ya kumtakia mapumziko mema we unakumbushia hela!!!! Lol...kaondoka na ahadi hewa kwetu
 
kakatuni kazuri.....
sasa hapo inatakiwa iwe ndo bashite anamkumbushia mkulu mradi wao wa fundu la kununua wapinzani kuwa pesa imeisha lkn mkulu anamjibu hivo.....naamini bashite mav yanaweza kumgonda mara kadhaa kabla hajjinyea
 
Yeye akiondoka rais mwengine ataendeleza makubaliano
 
Hahaha...badala ya kumtakia mapumziko mema we unakumbushia hela!!!! Lol...kaondoka na ahadi hewa kwetu
Ahadi ni deni kama kesi ya jinai, halifi tutapewa pesa yetu.
 
Urais ni taasisi, hivyo kuondoka kwa Zuma hakuna madhara yeyote kwa makubaliano yalio kwisha pitishwa.
Hiyo hyo taasisi, aliyekuepo hakuvunja nyumba za wananchi hovyo, aliyekuja kavunja. Aliyekuepo alilipa baadhi ya madeni ya watumishi aliyekuja hataki kulipa. Halafu bado unatubania pua hapa"taasisi"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…