Katu usimkekete binti yako...

😅😅😅eti umesemaje mkuu..
😜😜😜kwahiyo ndo umeamua kutusema sisi wakanda ile😢😢 sawa hakuna nouma...kizazi sana 😆😆😆
 
[emoji28][emoji28][emoji28]eti umesemaje mkuu..
[emoji12][emoji12][emoji12]kwahiyo ndo umeamua kutusema sisi wakanda ile[emoji22][emoji22] sawa hakuna nouma...kizazi sana [emoji38][emoji38][emoji38]

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kuna mama mmoja wa kikurya nilimpata naye alikuwa amekeketwa basi nikiwa naye kwenye sex nikawa namuandaa kwa foreplay mbalimbali basi baadae alidata na mimi akawa ameniganda sana hadi akawa anaenda kuwasimulia ndugu zake.
Imepita miaka 5 lakini hadi leo hajanisahau na ana namba yangu muda wowote nikimuita anakuja
 
Mwanamke Hana kisimi...unamuaamdaaje?..
 
Mwanamke Hana kisimi...unamuaamdaaje?..
Naamini nawe ni mwanamke. Zaidi ya kisimi kuna maeneo ambayo husaidia kuchochea hamu ya tendo kwa mwanamke. Zaidi ni kuwa maandalizi hayategemei kisimi kwa 100%. Kikubwa ni aridhike kwamaana ya kufika kileleni.

Huenda sijaeleza vema lakini unapata picha namaanisha nini
 
Landa tupo Tofauti...sidhani Kama watakuwa hawafurahii tendo...Watakuwa wanajisikia viZuri tu ...Na shemeji Yangu msomi Doctor KABISA...wahuko Mara...anaunga mkono ukeketaji...Dooh

Nashukuru Mungu Dada Yangu anawatoto wakiume...sijui akipata wakike ..itakuwaje.
 
Suala la kumridhisha mwanamke ni pana. Unaweza kuta mwingine ana kila kitu lakini hajawahi kufikishwa. Kuridhika kwa mwanamke kunategemea hisia zake na namna anavyoandaliwa.
 
Suala la kumridhisha mwanamke ni pana. Unaweza kuta mwingine ana kila kitu lakini hajawahi kufikishwa. Kuridhika kwa mwanamke kunategemea hisia zake na namna anavyoandaliwa.
Basi nyie endeleeni TU kuwakeketa hao mabinti zenu..maana HAMNA Madhara YOYOTE wanayopata...

Nawewe ukiwapata wakike...usisahau kumuita ngariba hata kwa Siri aondoe mashavu na kisimi...KWANI HAVINA KAZI YOYOTE .
 
Kuna mahali nimesema uliyoyaandika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…