habarini wanajamvi!
Leo nipo hapa kuwapa msisitizo wa jambo ambalo najua wengi mnalifahamu na pengine mshawahi lipitia.
Jambo lenyewe ni hisia kali sana za kimapenzi. Katu katika maisha yako usije ukafanya huu mchezo kwa maana unaweza kuleta madhara ya aina tofauti kwa muhanga na mbaya zaidi kumuharibu kiasaikolojia beyond repair.
Unapoona haupo serious kuingia katika uhusiano na mtu basi kuwa open naye ili kama atakung'ang'ania aingie at his or her own risk na sio unamjengea mtu picha kuwa mpo pamoja then ghafla unabadili plans.....
Maumivu ya kifua huwa yanakuwa makali sana maana hata mimi nakumbuka nilishaumiaga daaah yaani hakulaliki hakukaliki maana maumivu yanakuzonga kichwani.
Utajaribu kwenda kutembea sijui wapi upoteze mawazo au utazame movie au uchukue gari uweke full tank ukazunguke tu bila route maalumu ila mara tu utaporudi na kutulia yanaanza upya au pale utakaposema labda unywe pombe ndio duuuuh bure kabisa.....utakunywa utalala unaongea na kulia mwenyewe ila pombe zikikata maumivu yanarejea tena.
So before haujaumiza hisia za mtu hebu kuwa na utu na ujali basi atajisikiaje pale utakapofanya maamuzi yako ambayo yatamuumiza.
Nawasilisha.
Kutokuingia mzima mzima ndiyo kumuumiza mwenzako hivyo. labda ungesema ni lazima kuingia kwenye mahusiano na AKILI zako zote.Kuna watu wameumbwa kwa ajili ya kuumiza wenzao tu na watu kama hao hata upige kelele vipi hawawezi kubadilika.
Cha muhimu watu wanapoingia kwenye mahusiano kinachotakiwa ni kutokuingia mzima mzima.
Kuna ile scenario mtu anakuwa anakupenda ila anatamaa zake za mambo mengine labda yuko busy na majukumu yake kiasi kwamba hana muda na wewe hiyo nayo ni aina ya kuchezea hisia za mwenzako. Haumpi attention anayohitaji.Tatizo wengi wenu using'ang'anizi mtu anakuambia kabisa au anakuonyesha kabisa hakupendi utalazimisha weee hadi akukubalie, siku yakikukuta unalia lia unalia nini na uliyataka mwenyewe.
Sasa mtu yupo bize na majukumu kwaiyo aache majumuku ya msingi kwasababu yako kisa atakuumiza hisia khaaaaKuna ile scenario mtu anakuwa anakupenda ila anatamaa zake za mambo mengine labda yuko busy na majukumu yake kiasi kwamba hana muda na wewe hiyo nayo ni aina ya kuchezea hisia za mwenzako. Haumpi attention anayohitaji.
Kuna jamaa miaka ya nyuma gear yake kwa mabinti aliokua akiwatokea ilikua kutangaza ndoa, ikatokea akawapanga mtu na mama yake mdogo, ilipokuja ku backfire yule mamdogo aliji over dose chloroquine ili afe!Kuna watu wameumbwa kwa ajili ya kuumiza wenzao tu na watu kama hao hata upige kelele vipi hawawezi kubadilika.
Cha muhimu watu wanapoingia kwenye mahusiano kinachotakiwa ni kutokuingia mzima mzima.
Sasa mtu yupo bize na majukumu kwaiyo aache majumuku ya msingi kwasababu yako kisa atakuumiza hisia khaaaa