google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,667
- 13,872
kuna upepo wa segerea unakunyemelea. ukilegea tu 30 inakuhusuPoleni sana wadau kwa kusaka mkate wa kila siku .
Niingie kwenye mada husika, mimi ni kjna wa kawaida maisha yangu ni ya level ya kawaida 2 lakini hapa mtaani kuna kadent. Nimekazdi kam miaka 5 kametokea kuelewa pigo zangu , yani kananismbua kwa brua toka mwaka jna , japo nilishakaambia kuwa nakachukulia kma mdogo wangu / rafki .
Lakini kananichosha kanapo nambia kapo tyari kufanya lolote kwa ajili yngu.
Mbaya zaid ni kadent.