mbona nini....? malizia!
si wajua mavazi na kula vizuri kaka....!
mkuu hapa naona batani zimestaki baada ya 'e' kuwa nyingi...mawazo yako kuleeeeeeeeeeeeeeeeeeee
bila kusahau mazoezisi wajua mavazi na kula vizuri kaka....!
Wakawaida sana mkuu...
Kuna tetesi zinasema kuwa wametalikiana sasa hivi kila mtu analala chumba chake ila wanakuwa pamoja kutimiza protoko tuu.