DAVID ROUBEN
Member
- May 25, 2015
- 91
- 4
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa Pwani kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-
TAREHE: 28/11/2015, Jumamosi na 29/112015, Jumapili
SAA: 3:00 Asubuhi hadi 11:00 Jioni
SABABU: Matengenezo makubwa kwenye kituo cha kupoozea na kusambaza umeme cha Mlandizi.
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Mitambo ya Maji ya Ruvu Juu, Hong Yu Steel, Miwaleni, Visiga Madafu, Visiga kwa Kipofu, Maili 35, Misugusugu, sehemu ya Kongowe, Miembe saba, Kwa Mfipa, Mwenda Pole, TANITA, Kwa Mathias, Msangani, TPDF Msangani, TPDF Nyumbu, Kwa Mbonde na Mitambo ya Maji ya Ruvu Chini.
Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia simu zifuatazo: 0657 108782, 0785 122020 au kituo cha miito ya simu namba 2194400 au 0768 985 100
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza
Imetolewa na:- OFISI YA UHUSIANO,
TANESCO ? MAKAO MAKUU.