Katika ujenzi wa Nchi, kuna wengine inabidi waumie ili isonge mbele

yvegenc prymacov

JF-Expert Member
Jan 22, 2023
1,529
1,921
Nchi ni kama shamba, unapo palilia shamba lako, huwezi kuiacha mimea yoote ijotee tu bila mpangalia, kuna mimea mingine inabidi ing'olewe ili kulipa shamba nguvu ya kustawi, pia huwa kuna magugu yanayofanana mno na mimea, usipokuwa makini huwezi kujua kama hayo ni magugu au mimea, nayo inabidi uyang'oe kwa ustadi mkubwa yasije yaka dondosha mbegu.

Hivi ndivyo nchi inatakiwa ilindwe kwa uweredi, ujasiri na ushupavu, mfano ugaidi wa kibiti, bila ushupavu wa jemadari na vyombo vyake vya usalama, leo nchi ingetumbukia kwenye umwagaji mkubwa wa damu, lkn lilifanyika tambiko la kuchinja kondoo wawili ili kuiponya nchi.

Baada ya hilo tambiko, albino hawakuchinjwa tena, vituo vya polisi havikuvamiwa tena, ofisi za chama na serikali hazikuvamiwa tena.

Ni lazima itolewe sadaka ya damu ili kuiponya nchi, hata yesu alikufa ili wengi wapone, hata kwenye dini za kishetani kuna sadaka pia za damu.

Mkulima stadi hawezi kuruhusu mimea pamoja na magugu yaote kwa pamoja.Ni lazima magugu yang'olewe na kuchomwa moto kabisa.
 
Nchi ni kama shamba, unapo palilia shamba lako, huwezi kuiacha mimea yoote ijotee tu bila mpangalia, kuna mimea mingine inabidi ing'olewe ili kulipa shamba nguvu ya kustawi, pia huwa kuna magugu yanayofanana mno na mimea, usipokuwa makini huwezi kujua kama hayo ni magugu, nayo inabidi uyang'oe kwa ustadi mkubwa yasije yaka dondosha mbegu.

Hivi ndivyo nchi inatakiwa ilindwe kwa uweredi, ujasiri na ushupavu, mfano ugaidi wa kibiti, bila ushupavu wa jemadari na vyombo vyake vya usalama, leo nchi ingetumbukia kwenye umwagaji mkubwa wa damu, lkn lilifanyika tambiko la kuchinja kondoo wawili ili kuiponya nchi.

Baada ya hilo tambiko, albino hawakuchinjwa tena, vituo vya polisi havikuvamiwa tena, ofisi za chama na serikali hazikuvamiwa tena.

Ni lazima itolewe sadaka ya damu ili kuiponya nchi, hata yesu alikufa ili wengi wapone, hata kwenye dini za kishetani kuna sadaka pia za damu.

Mkulima stadi haweki mimea pamoja na magugu yaote kwa pamoja.
Kuna kitu Kikubwa unataka kuki justfy hebu weka wazi hizo kafara mlizozitoa ili taifa lipone!
Ni kama unapima upepo ili either ujitetee au kumtete mtawala na kafara zake
 
Sio kimtetea mtawala,ili nchi iwe na amani,ni lazima watu shupavu waiongoze,
 
Nchi ni kama shamba, unapo palilia shamba lako, huwezi kuiacha mimea yoote ijotee tu bila mpangalia, kuna mimea mingine inabidi ing'olewe ili kulipa shamba nguvu ya kustawi, pia huwa kuna magugu yanayofanana mno na mimea, usipokuwa makini huwezi kujua kama hayo ni magugu au mimea, nayo inabidi uyang'oe kwa ustadi mkubwa yasije yaka dondosha mbegu.

Hivi ndivyo nchi inatakiwa ilindwe kwa uweredi, ujasiri na ushupavu, mfano ugaidi wa kibiti, bila ushupavu wa jemadari na vyombo vyake vya usalama, leo nchi ingetumbukia kwenye umwagaji mkubwa wa damu, lkn lilifanyika tambiko la kuchinja kondoo wawili ili kuiponya nchi.

Baada ya hilo tambiko, albino hawakuchinjwa tena, vituo vya polisi havikuvamiwa tena, ofisi za chama na serikali hazikuvamiwa tena.

Ni lazima itolewe sadaka ya damu ili kuiponya nchi, hata yesu alikufa ili wengi wapone, hata kwenye dini za kishetani kuna sadaka pia za damu.

Mkulima stadi hawezi kuruhusu mimea pamoja na magugu yaote kwa pamoja.Ni lazima magugu yang'olewe na kuchomwa moto kabisa.
THREAD OF THE DAY!
 
Unacho justify hapa kishaeleweka!! But jiulize kwann yakatokea kipind hicho na sio sasa?
 
Mauaji ya albino,mauaji ya kibiti,na uvamizi wa vituo vya polisi vilianza kipindi cha utawala wa kikwete,vikadhibitiwa,vikaja kudhibitiwa na jpm,kwa sasa wewe vuta mda tu,ujambazi umeanza,panya Road wameanza,ni swala la mda tu.
 
Naunga mkono hoja, Watu kama Magufuli, Sabaya, Makonda wameumia na nchi sasa inasonga mbele

Hakika sadaka ya damu iliyotolewa tarehe 17/03 imeliponya taifa
Hakuna watu wansotekwa tena, hakuna vifo vya magonjwa ya kupumua tena, biashara zinachanua, uchumi umerudi
 
Unaoneja sasa hivi tukutoe wewe na watu wa aina yako kafara ili nchi iendelee na ipate demokrasia imara??
 
Ninaamini kabisa kuwa unao uwezo wa kuiongoza vema akili yako,shida umevaa miwani ya chuki na ushabiki,hivyo ni vigumu kuusema ukweli.
Tatizo lenu watz ni roho mbaya na kufurahia maujai na mateso ya wengine that way umeamua kuandika mambo yanayo endekeza chuki .
 
Kuna watu wanajidanganya unaweza kuitawala na kuleta maendeleo kwa Africa ya leo kama ambavyo wazungu wanafanya kwa Ulaya na america ya leo.

Africa ya leo ni Ulaya ya 1800's huko, Africa wajinga na wapumbavu ni wengi sana ambao demokrasia ya Mzungu kwasasa sio njia sahihi kuwaongoza,,Mwafrica kwasasa anahitaji mijeredi na fimbo kukaa sawa ili mbele huko sasa ndio itumile demokrasia ya Mzungu.
 
Viboko na mijeredi kampiige Mama yako na baba yako hauna Akili unawaza kutesa watu ili tu utawale zero brain muulize Magufuli alipata faida gani?

Mama na Baba yangu wameingiaje tena?

lete hoja kunishawishi kwa namna gani demokrasia ya Mzungu ya leo inaweza kumletea MwAfrica maendeleo naye akawa civilized.
Lete hoja ni kwanamna gani mwanadamu anaweza kukaa kwenye njia na kuishi kwa misingi ya utii, kufanya kazi kwa bidii, kuwa mzalendo na kutokuhujumu nchi yake bila mijeredi.
Nipe mifano nchi zilizowahi kuendelea bila kupitia kipindi ya mateso kwa watu kushurutishwa na kulazimishwa kufanya kazi kwa manufaa ya nchi zao.

Reli ya Tazara ilijengwa kwa mikono kwa watu kushurutishwa.
Reli ya mkoloni na mengine mengi mkoloni aliyafanya kwa kushurutisha watu kwa mijeredi na fimbo, sisi pamoja na kubembelezana hatujafanya hata robo ya misingi aliyoweka mkoloni zaidi ya kuua kila kitu.

NISHAWISHI MKUU KWA HOJA NA SIO MATUSI.
 
Unaoneja sasa hivi tukutoe wewe na watu wa aina yako kafara ili nchi iendelee na ipate demokrasia imara??

Hata kuitoa CCM leo hii madarakani unafikiri itakuja tu hivi hivi bila watu kujitoa ( kufa na kuumia)?.... Hawa akina Mbowe nk kukaa magerezani na kuteswa yote ni kafara ili CCM itoke
Kafara inaweza ikawa kwa mtu mwenyewe kuamua kujitoa kutetea watu au kwa mamlaka kuwatoa watu kwa kuwashurutisha kufanya kazi kwa bidii kwa miaka mingi kwa manufaa ya vizazi vingine.

Mkoloni aliondoka kwa akina Mkwawa, Kinjeketile, Abushiri nk kufa na babu zetu wengine kuumia.... hiyo ni kafara ili mkoloni atoke.

Mkoloni alijenga miundo mbinu yake na kuweka mifumo kwa kutumia mijeledi na fimbo ndio watu waliweza kufanya kazi kwa nguvu na bidii ndio hizi bandari, reli nk tulivyorithi na vingine tukaviua kwa kuchekeanachekeana.

Ulaya na America zimeendelea kwa kupitia series ya viongozi tofauti tofauti na stages tofauti tofauti za mateso ili nchi zao zisimame.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom