Katika tabiya za wanawake zinazo niudhi ni kutokujali muda

Sefu jafary

JF-Expert Member
Jun 5, 2016
383
500
Juz kati nilikuwa na interview,siku ile ya interview kuna mdada akataka nimpitie ili twende wote.

Mda wa interview ulivyokaribia nikampitia kufika namkuta ndo anaenda kuoga na mda ulibakia lisa limoja.Kuoga tyu katumia nusu saa, alivyomaliza kuoga akanambia ni msubir avae faster,nusu saa ikapita bado hatoki.

Nususaa mda wa interview ndo anatoka huku akijiangalia kwa kioo, kutoka tu nje akaanza kujichora machoni.Mpaka tyunaanza safari kaxhatumia dak 30 kwaajili ya kuvaa na dak 15 kwa kujichora.Ile tyunafika kwenye interview room lisa 1 limepita tangu shughuli ianze na zile crucial point tayarizilizha be presented.

Je ungekuwa wewe ungewaxhauri nini wadada kam huyu ambaye hajali mda kwaajiri ya kujipodoa??
 

pistmshai

JF-Expert Member
Dec 12, 2016
1,315
2,000
Ingekuwa ni mshikaji wako ungemsuburi kama ulivyomsubiri huyo demu?

Umekipata ulichokuwa unakitaka..
 

Sefu jafary

JF-Expert Member
Jun 5, 2016
383
500
Hamna ulikuwa urafik2,naistoshe nilitoa ahadi ya kumpitia so hata kumuacha iliniwia vigu.
 

mayowela

JF-Expert Member
Nov 2, 2014
2,120
2,000
Nani alikudanganya kuwa Mwanamke anasubiriwa...? Siku ingine utakuja kosa dili za pesa mjini
 

Sefu jafary

JF-Expert Member
Jun 5, 2016
383
500
Issue kumpata huyo wakisukuma,afu tatizo lao nao walipiwa ng'ombe wengi nami sina hata mbuz mnyama
 

Nyankuzi

JF-Expert Member
Nov 3, 2016
466
500
Juz kati nilikuwa na interview,siku ile ya interview kuna mdada akataka nimpitie ili twende wote.Mda wa seminer ulivyokaribia nikampitia kufika namkuta ndo anaenda kuoga na mda ulibakia lisa limoja.Kuoga tyu katumia nusu saa, alivyomaliza kuoga akanambia ni msubir avae faster,nusu saa ikapita bado hatoki.Nususaa mda wa interview ndo anatoka huku akijiangalia kwa kioo kutoka tu nje akaanza kujichora machoni.Mpaka tyunaanza safari kaxhatumia dak 30 kwaajili ya kuvaa na dak 15 kwa kujichora.Ile tyunafika kwenye interview room lisa 1 limepita tangu shughuli ianze na zile crucial point tayarizilizha be presented.
Je ungekuwa wewe ungewaxhauri nini wadada kam huyu ambaye hajali mda kwaajiri ya kujipodoa??
Ungeachana nae ukaenda kwny interview.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom