Sefu jafary
JF-Expert Member
- Jun 5, 2016
- 382
- 258
Juz kati nilikuwa na interview,siku ile ya interview kuna mdada akataka nimpitie ili twende wote.
Mda wa interview ulivyokaribia nikampitia kufika namkuta ndo anaenda kuoga na mda ulibakia lisa limoja.Kuoga tyu katumia nusu saa, alivyomaliza kuoga akanambia ni msubir avae faster,nusu saa ikapita bado hatoki.
Nususaa mda wa interview ndo anatoka huku akijiangalia kwa kioo, kutoka tu nje akaanza kujichora machoni.Mpaka tyunaanza safari kaxhatumia dak 30 kwaajili ya kuvaa na dak 15 kwa kujichora.Ile tyunafika kwenye interview room lisa 1 limepita tangu shughuli ianze na zile crucial point tayarizilizha be presented.
Je ungekuwa wewe ungewaxhauri nini wadada kam huyu ambaye hajali mda kwaajiri ya kujipodoa??