Katika tabiya za wanawake zinazo niudhi ni kutokujali muda

mkuu, ukipanga safari na mwanamke yani itakubidi kama ulipanga saa 5, yani we mwambie safari SAA 3,,ili umwachie Massa mawili ya kujiremba, ukishawajua wakina dada kuishi nao sio shida sana..

*kimbembe akikuuliza nimependeza then jaribu kusema hapana uone ndo utamfanya aparanganyue maguo yake yote kwenye kabati, aanze upyaa kuvaa*
 
Jamani mbavu zangu
 
Wewe ni mgeni wa wanawake ? Wenzako kama tuna shughuli saa nne asb na inahusisha kuongozana kiumbe wa kike unamwambia shughuli ni saa tatu.na hapi bado utampump sana ndio labda mtoke tatu na robo
 
Wanawake na muda ni janga la dunia.Mimi nakumbuka mzee aliwahi kumuacha bi mkubwa shambani akarudi kwa miguu na shamba ni mbali.
 
Be serious wewe una interview muhimu then unapata muda kupitia mchepuko wako hivi vijana wa kitanzania papuchi zimewafanya nini??? no priority kabisa
 
Sijui kama hiyo interview ilikuwa ya kutafuta ajira!!! Interview ziko nyingi sasa hivi.
 
Wewe ulimpitia huyo Chupi ili Uende Nae Guest
Sio sehemu ya kutafta pesa hadi ukamsubiri..

Mwanamke hasuburiwi.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom