Katika Mtandao unaoogoza kuwa na wafanya biashara halali na haramu ni "Instagram"

Biashara Matangazo au mkuu ulikuwa unawfollow maana bila kuwafata hawawezi kutokea kwenye page yako labda kwa bahati mbaya
Amna mkuu '' nadhani kuna watu nili wafollow au walini follow walikuwa ni expect wa hayo mavitu
 
Huhuhuhuh wee acha tyuuh nliwekaga dp ya bestie angu wa kike, basi baharia akazamia Dm, akaanza kushusha vocal mie namchora tyuuh, bas nkajfany nazngua ananibembeleza wee na kuingza kuwa yey ana pesa kwahyo nisiwe na was was atanpa chochot nnachotak.

Bas nkamkubalia akaomba no angu, so far nkampa nae faster akapiga muda huo, tukaongea kusikia saut angu ndio alivurugwa mweeeh, tulivomaliza kuongea nkashangaa inaingia elf 20 afu ananambia hiyo ya soda huku ananisifia nna saut amazing,

Bas tukawa tunachat tyuh muda ule, akaomba picha nkamtumia za best angu km 3 hiv lol akalewa mazima, usku wake tukaongea bas nkajiongeza nkamuomba pesa elfu 50, bas akawa anambia asubuh atatuma, huku ananiambia kuwa kwangu amefika nisiwe na wasi wa, lol kweli asubuh akatuma elf 70, uwiiiiii hapo nka mu unfollow IG, na no ake nlibrock.

Ikaisha hivyo nilikula 90, yaan nliamini watu wana hela jaman.
Kuna Watu hiyo 90 ni kama tu punje za mpunga zilizoliwa na Ndege kwenye mtego na Ndege akaondoka bila mtego kumnasa...sasa usitarajie kwamba atakaa chini alilie punje zake zilizoliwa...sanasana ataboresha mtego.
 
Huhuhuhuh wee acha tyuuh nliwekaga dp ya bestie angu wa kike, basi baharia akazamia Dm, akaanza kushusha vocal mie namchora tyuuh, bas nkajfany nazngua ananibembeleza wee na kuingza kuwa yey ana pesa kwahyo nisiwe na was was atanpa chochot nnachotak.

Bas nkamkubalia akaomba no angu, so far nkampa nae faster akapiga muda huo, tukaongea kusikia saut angu ndio alivurugwa mweeeh, tulivomaliza kuongea nkashangaa inaingia elf 20 afu ananambia hiyo ya soda huku ananisifia nna saut amazing,

Bas tukawa tunachat tyuh muda ule, akaomba picha nkamtumia za best angu km 3 hiv lol akalewa mazima, usku wake tukaongea bas nkajiongeza nkamuomba pesa elfu 50, bas akawa anambia asubuh atatuma, huku ananiambia kuwa kwangu amefika nisiwe na wasi wa, lol kweli asubuh akatuma elf 70, uwiiiiii hapo nka mu unfollow IG, na no ake nlibrock.

Ikaisha hivyo nilikula 90, yaan nliamini watu wana hela jaman.
Bestie.
Karma ipo njiani inakulia timing tu
 
Hahahas ...daahhh!!!

IG Mimi nili i-remove kitambo sana yapata mwaka wa 3 sasa . kuna kipindi ilikuwa ukiingia unakuta picha za wadada wana twerk makalio tu

Dahh mikajisemea huku sipawezi kabisa maana maudhui ya watumiaji wake wana hamasisha sana ngono na kila aina ya laana ...
Mtandao mwingine ambao nimeona kuwa siuwezi ni huo mtandao wenu wa tiktok aisee bora niitwe mshamba tu ....lakini hizo. Platform siwezi kuzitumia kabisa
Tatizo lako ni aina watu uliowa follow. Ndio waliosababisha uone matakataka.

Mitandao karibia yote labda tuitoe Linked In ina vilaza
 
Huhuhuhuh wee acha tyuuh nliwekaga dp ya bestie angu wa kike, basi baharia akazamia Dm, akaanza kushusha vocal mie namchora tyuuh, bas nkajfany nazngua ananibembeleza wee na kuingza kuwa yey ana pesa kwahyo nisiwe na was was atanpa chochot nnachotak.

Bas nkamkubalia akaomba no angu, so far nkampa nae faster akapiga muda huo, tukaongea kusikia saut angu ndio alivurugwa mweeeh, tulivomaliza kuongea nkashangaa inaingia elf 20 afu ananambia hiyo ya soda huku ananisifia nna saut amazing,

Bas tukawa tunachat tyuh muda ule, akaomba picha nkamtumia za best angu km 3 hiv lol akalewa mazima, usku wake tukaongea bas nkajiongeza nkamuomba pesa elfu 50, bas akawa anambia asubuh atatuma, huku ananiambia kuwa kwangu amefika nisiwe na wasi wa, lol kweli asubuh akatuma elf 70, uwiiiiii hapo nka mu unfollow IG, na no ake nlibrock.

Ikaisha hivyo nilikula 90, yaan nliamini watu wana hela jaman.
Afadhari nimekupata naomba nirudishie pesa yangu, this time nakuroga !
 
Ukitaka kwenda mbinguni achana na mtandao wa Instagram, tiktok na telegram , hyo mitandao ipo kishetani sana
 
Huhuhuhuh wee acha tyuuh nliwekaga dp ya bestie angu wa kike, basi baharia akazamia Dm, akaanza kushusha vocal mie namchora tyuuh, bas nkajfany nazngua ananibembeleza wee na kuingza kuwa yey ana pesa kwahyo nisiwe na was was atanpa chochot nnachotak.

Bas nkamkubalia akaomba no angu, so far nkampa nae faster akapiga muda huo, tukaongea kusikia saut angu ndio alivurugwa mweeeh, tulivomaliza kuongea nkashangaa inaingia elf 20 afu ananambia hiyo ya soda huku ananisifia nna saut amazing,

Bas tukawa tunachat tyuh muda ule, akaomba picha nkamtumia za best angu km 3 hiv lol akalewa mazima, usku wake tukaongea bas nkajiongeza nkamuomba pesa elfu 50, bas akawa anambia asubuh atatuma, huku ananiambia kuwa kwangu amefika nisiwe na wasi wa, lol kweli asubuh akatuma elf 70, uwiiiiii hapo nka mu unfollow IG, na no ake nlibrock.

Ikaisha hivyo nilikula 90, yaan nliamini watu wana hela jaman.
dogo acha ushoga hutafaidi lolote
 
Daah ila fresh tu
 
Back
Top Bottom