Who is this...?
duh hii alama yako biohazard ni freem**son nini?imenitisha kdg!
huyu nae star?? ana pesa ngapi kwa bank?? kafanya nini mpaka awe star??
Hahahahahaha unataka kujoin..?
Hata sijui ila tu nilihisi nampenda hata kabla hajawa maarufu sana kihivyooo
poa tu kama inalipa hahahahahaha....vipi wewe umo au?
Inataka moyo lakini we can make an appointment