Katika mapenzi ukiwa muongo utapata... Na ukiwa mkweli utapata

Slave

JF-Expert Member
Dec 6, 2010
5,314
2,635
UONGO 1.wadada wote wa jf nawapenda naomba mnikubali ninaahidi sinto waumiza mimi nitakuwa barafu wa kupoza mioyo yenu iliyo umizwa na wakaka wasiyojua kupenda.nitafanya mpango soko kariakoo niwape mapato mtagawana. UKWELI 2 .nawapenda lakini sina pa kuwapeleka.kwakuwa namalizia dozi yangu ya kifua kikuu leo ningependa mnikaribishe kwenu ili niwe wenu.kwakuwa ninawapenda nitajitahidi kutafuta kazi ili niwahudumie ila kwa sasa naomba mnihudumie nyie. SWALI KATI YA MUONGO NA MKWELI NANI AMBAE HUFANIKIWA KWA UPESI? Shusha data
 
mbona wadada/kaka wengi husema mimi kwakweli nachukia sana kudanganywa ninapenda mkaka/dada aniambie ukweli.

kiukweli ukimwambia ukweli mdada utachelewa kumpata ila ukumdanganya unampata kiulaini uasio dada lizz na suzz
 
kiukweli ukimwambia ukweli mdada utachelewa kumpata ila ukumdanganya unampata kiulaini uasio dada lizz na suzz

na kiukweli kabisa umapokuwa unamdanganya huyo mdada jua na wewe anakudanganya hivyo ivyo. Kama we unadanganya nini kinakufanya ufikirie ye hawezi kukudanganya?
 
na kiukweli kabisa umapokuwa unamdanganya huyo mdada jua na wewe anakudanganya hivyo ivyo. Kama we unadanganya nini kinakufanya ufikirie ye hawezi kukudanganya?
Kikubwa initiator anakuwa antaka apewe kile alichoomba hata kwa kudanganya! Huyo mdada atadanganya baadaye.
 
Uongo + uongo, vina match. Sisi wanaume tunadhani ndio huwa tunadanganya, kiukweli huwa tunadanganywa saana ila uongo wa wenzetu ni mdogo mdogo halafu very smart.
 
na kiukweli kabisa umapokuwa unamdanganya huyo mdada jua na wewe anakudanganya hivyo ivyo. Kama we unadanganya nini kinakufanya ufikirie ye hawezi kukudanganya?

kazi ipo inamaana wote tunadanganyana?
 
Kifua kikuu??? umehakikisha uko fiti mkuu? pole sana na karibu tena jamvini
 
If you start na ukweli katika mapenzi you are guaraneed to loose. Nimeshaona mara nyingi na ninafikiria kuwa wadada huwa wanakuwa comfortable sana wanapoambiwa uongo! Hata kama kuna ukweli, wao hujisikia vizuri iwapo ukweli huo utapambwa na uongo!!!
 
na kiukweli kabisa umapokuwa unamdanganya huyo mdada jua na wewe anakudanganya hivyo ivyo. Kama we unadanganya nini kinakufanya ufikirie ye hawezi kukudanganya?

nadhani ili penzi linoge wote mnatakiwa muwe waongo au wakweli. Au sio dota
 
Uwongo uwe well planned ila ukisha fanikisha mambo yetu mara 2 au 3 ndo unaanza mwambia ukwel taratibuuuuuuuuuu
 
Uwongo uwe well planned ila ukisha fanikisha mambo yetu mara 2 au 3 ndo unaanza mwambia ukwel taratibuuuuuuuuuu

Hivi kwa nini huwa hivi? na msichana akishaona keshasaula anaona bora atulie tu hata kama alidanganywa
 
Back
Top Bottom