The Businessman
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 7,397
- 9,264
Kufwafwanzika- ndo kupi Kamanda?Kukutana na yule uliyemuacha kwa mbwembwe nyingi akiwa anameremeta "ameshine" mara elfu zaidi ya ulivyokuwa nae(Yaani wewe ni kama ulikuwa unamzeesha tu) Halafu wewe umefwafwanzika!
Yamemenikuta[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Omba yasikukute!
Pole sana mkuu!Aaah mkuu umenikumbusha machungu duuh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi huwa nawakimbia tu huwa sipendi zarau
Pole sana aiseehAaah mkuu umenikumbusha machungu duuh
asante sana NeybrightPole sana aiseeh
Kufwafwanzika- ndo kupi Kamanda?
Maumivu yake balaa ila ndio hivyo unajifunza..Unapotezea yanaishaPole sana mkuu!
Mimi huyu Dada niliyomuacha k wa mbwembwe nyingi nimekutana naye Jana nilitamani kama ardhi ipasuke nitumbukie maana ilikuwa ni aibu na machungu.
Kukutana na yule uliyemuacha kwa mbwembwe nyingi akiwa anameremeta "ameshine" mara elfu zaidi ya ulivyokuwa nae(Yaani wewe ni kama ulikuwa unamzeesha tu) Halafu wewe umefwafwanzika!
Yamemenikuta[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Omba yasikukute!