Katika maisha kikubwa amani

Katika maisha kikubwa amani

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
24,885
Reaction score
60,918
Amani ni kitu kimoja kizuri sana. Nchi yetu ina amani kiujumla. Aman na upendo tunajivunia ukivuruga amani ya nchi yetu fasta tunakupinga Bongo lazima ukikubali kwenye ulinzi.
 
Yote uliyoyasema ni kweli kabisa.Ila sasa sijui ni kwanini wakazi wa hiyo nchi hawana furaha. Ni moja ya nchi ambazo wakazi wake hawana furaha.
 
Back
Top Bottom