Katika kutawala jukwaa, Magufuli anaongoza dhidi ya Lowassa

dirii buu

Senior Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
105
Reaction score
22
Katika mikutano ya kampeni iliyoanza tare he 22/08/2015 ni wazi mgombea wa ccm atamudu kutawala jukwaa na kujinadi dhidi ya mgombea wa ukawa. Lowassa
 
Sikiliza MBULU nazungumzia wagombea urais.
 
Hadhira inamsikiliza fanani bila kuchoka na fanani kuhutubia angalau DK 30 bila kukosea, kurudiarudia maneno kama mwenye kigugumizi
 
Subiri na lowasa azungumze,ndio useme.
 
Katika mikutano ya kampeni iliyoanza tare he 22/08/2015 ni wazi mgombea wa ccm atamudu kutawala jukwaa na kujinadi dhidi ya mgombea wa ukawa. Lowassa

Kutawalq jukwaa ni sifa ya msanii bora. Tunahitaji kiongizi, sio msanii!
 
Hatutafuti rangi ya paka.. tunatufata mpaka wa kukamata panya.. Magufuli hawezi mfupa uliomshinda Mwinyi, Mkapa na Kikwete tusidanganyane..!!

Wameshindwa miaka 50.. ataweza kwa miaka mitano?? Huyohuyo Magufuli alikuwa Waziri wa Mifugo, alishindwa kujenga kiwanya cha nyama wala samaki leo anatuletea ngonjera za kujenga kiwanda cha nyama... Ni waziri wa Ujenzi, ameshindwa kuondoa kero za msongamano Dar es salaam leo anasema anajenga njia sita mpaka Morogoro..

Hatudanganyiki kwa kuongea kwake kwa mbwembwe.. tunataka CCM ikae pembeni!!
 
Aisee kwa mara ya kwanza naanza kumkubali Magufuli jembe, ni kazi kwenda mbele. nchi yetu ilipofika kwa sasa tunahitaji Dikiteta mzalendo ndo nchi itakaa sawa
 
Hatutafuti rangi ya paka.. tunatufata mpaka wa kukamata panya.. Magufuli hawezi mfupa uliomshinda Mwinyi, Mkapa na Kikwete tusidanganyane..!!

Wameshindwa miaka 50.. ataweza kwa miaka mitano?? Huyohuyo Magufuli alikuwa Waziri wa Mifugo, alishindwa kujenga kiwanya cha nyama wala samaki leo anatuletea ngonjera za kujenga kiwanda cha nyama... Ni waziri wa Ujenzi, ameshindwa kuondoa kero za msongamano Dar es salaam leo anasema anajenga njia sita mpaka Morogoro..

Hatudanganyiki kwa kuongea kwake kwa mbwembwe.. tunataka CCM ikae pembeni!!

pembeni utakaa wewe, au utawekwa nyuma kabisaaa hahahaha.........
 
Magufuli anatuletea comedy, hana mpya ahadi zilezile zilizowashinda miaka 54 leo yeye ataweza ndani ya ccm...
 
Back
Top Bottom