Katika kuelekea uchumi wa viwanda naona kama VETA ndio inatukwamisha

Mi naamini tanzania ya viwanda ilikuwa ni move ya kisiasa na sio uhalisia

Coz sikuona sera na mikakati ili kukamilisha hivyo viwanda zaidi ya porojo tu! Za majukwaani
We jamaa, yaani uliamini kweli, Huyo aliyesema hajui hata alichokuwa anakisema, hajui hata wataalam wanaandaliwaje.
 
We jamaa, yaani uliamini kweli, Huyo aliyesema hajui hata alichokuwa anakisema, hajui hata wataalam wanaandaliwaje.
Naona dzain km imeishia hewani. Now ni mwendo wa kutafuta kick za bei rahisi
 
Naona dzain km imeishia hewani. Now ni mwendo wa kutafuta kick za bei rahisi
MKUU HATA SALUNI NI KIWANDA😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁VYEREHANI NNE NI KIWANDA😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom