Katika kuboost page Facebook

Abdallah404

Member
Joined
Feb 17, 2014
Posts
61
Reaction score
21
Je,Bill unayochajiwa in terms of dollars.
Kuna makato yanayofanyika katika Currency Convertion? From TZS to $(Dollars)?
 
hilo swali iulize bank au taasisi yako ya kifedha unayotumia wao ndio wana majibu, kama unataka msaada zaidi toa details za hio bank wanaoitumia watakuambia
 
Hakuna makato in such

Ila makato ni ile bill yako ambayo utakatwa kwenye akaunt yako ya bank especially kwa CRDB
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…