Katika kila watu 10, Kuna Wana CCM 7

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
24,864
Reaction score
60,859
Nimefanya research kwa kufuatilia jinsi Magufuli anavyokubalika nimegundua Magufuli atashinda kwa 70% ikilinganishwa na vyama vya upinzani ambavyo vitpata watu 30%.

Muda ukifika nadhani hisia hizi zitakuwa kweli.

Tanzania yetu inapaa lakini tulicheleweshwa na watendaji Sasa system imewazingira Magufuli kawatega.
 
Labda ulifanya research kwenye nyumba ya mjumbe wa nyumba kumi
 
Mkisha shiba viporo na makombo mezani kwa chakubanga mnajiropokea tu kama mmekunywa maji ya chooni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi sina shida na kushinda urais, hata wangekaa milele, je tunafikia malengo tuliyojiwekea, nimesikia juzi bungeni kwamba bajeti zinazotengwa sizo zinazofikia eneo husika, tutaendeleaje kwa staili hii? Umaskini ni biashara na tunatumia hii kuwarubini Watanzania maskini walio huko vijijini, ambaye hata ukimjengea choo na kumpa kanga anaridhika na kukupa kura, Kweli 2025 tutakuwa na uchumi wa kati?
 
Asante kwa taarifa, sasa kama ndivyo kumbe hofu ya tume huru ya uchaguzi ni ya nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hii research utakuwa umefanyia sebleni kwenu, hao ni mashabiki na siyo wapiga kura, fanya kama unajikuna uchaguzi uwe huru na wa haki, ondoa polisi wenu, ondoeni tume yenu wekeni tume huru ndo utaelewa kwanini bangi imeruhusiwa njombe.
 
Hahaha nimefanya research. Okay maeneo yapi? Umetumia method gani? Data umekusanya kutoka makundi yapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Usisahau pia kwamba katika hao kumi...nane au tisa ni masikini wa kutopea.
 

Katika kila watu wawili mmoja ni mpinzani. Hivyo wakati wa uchaguzi vyombo vyote vya dola, tume ya uchaguzi itabidi wafanye mchezo mchafu ili ccm watangazwe washindi.
 
Sema kati ya watu 10 kuna mashetani 7 wapenda haki3
 
Ile ripoti ya vichaa wanne katika watanzania 10 sijui.Nadhan itakuwa sawa kwa utafiti wa huyu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…