sio mwanaume wa dar huyo kweli
Heheh, zamani ilikuwa ukimkuta mtu akiwa katika mazingira haya ilikuwa ni lazma ujue kuwa ni mpelelezi tu wala hamna ubishi.wengine wapelelezi
Huwezi jua labda huyu ananafuu ukifananisha na wengine watatu. Ndio maana walisema wanneNdio huyo mmoja mwenye ukichaa mkuu. Si unaona gari analoendesha kiongozi.
Mwanaume wa Dar ukimaanisha mwanaume anayeishi Dar au ukimaanisha ni Mzaramo mkuu.
Wekomaasio mwanaume wa dar huyo kweli
Matatizo ya kuvuga stage hayo mara nyingi humpelekea mtu kuonekana kichaa