Katika kashfa zote za ufisadi katika nchi hii, Magufuli alisimamia wapi?

mcfm40

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
4,452
Reaction score
3,152
Hii nchi ilishakumbwa na kashfa nyingi sana za ufisadi. Mfano radar, EPA, Richmond/Dowans, IPTL, Twiga, dawa za kulevya, mauajicya Tembo, Escrow nk. Wabunge wengi wamekuwa wakijipambanua kama wapinga ufisadi na wengine kutetea. Lakini cha ajabu sikumbuki kusikia mchango wowote wa Magufuli katika mapambano na ufisadi. Kinachosikika zaidi ni yeye kuhusishwa na ufisadi au kuitia hasara serikali. Mfano hasara kwenye kubomoa vituo vya mafuta bila kufuata taratibu, samaki wa Magufuli, nyumba za serikali, barabara zilizojengwa chini ya kiwango, riba kubwa ya mabilioni kwa wakandarasi kwa sababu ya kutolipwa kwa muda, pia juzi CAG kugundua upotevu wa mabilioni kwenye wizara yake usiokuwa na maelezo! Je haya makandokando ya Magufuli ndiyo yamemfanya awe kimya kwenye skendo za ufisadi?
 
1. Nawashangaa wanaowachoma moto Vibaka na kumuacha Lowassa akitanua mitaani-Freeman Aikaeli Mbowe;
2. Anayemuunga mkono Lowassa akapimwe akili haraka-Mch. Peter Msigwa
3. Nina ushahidi wa kutosha kuhusiana na Wizi na Ufisadi wa Lowassa na Rostam-John Mnyika.
4. CCM wamempatia Fisadi Lowassa fomu ya kugombea urais. Ni hatari sana-Tundu Lissu.
5. Nimesema kama UKAWA tutamsimamisha fisadi , mna haki ya kututosa-Halima mdee
6. I thought safari ya Matumaini was poorly organized, imekuwa safari ya matumizi
7.Taarifa kwa Umma: Serikali iache kumlinda Lowassa , ni mmoja wa mizizi ya ufisadi wa Richmond. Akamatwe, ahojiwe na achukuliwe hatua za kisheria- Yeriko Nyerere
8. Wakati Mwakyembe na Magufuli wakiwajibika kulitumikia taifa , kuna Mapaka shume yanatembea Makanisani na Misikitini yakisaka urais-Yeriko Nyerere
8. Ni heshima kwa Mungu kumzomea na kumtukana mtu FISADI kama Lowassa-Godbless Lema
9. Pamoja na haki ya kila mtu kugombea urais ,kwa hawa walioomba kutoka CCM, I don't see talent , kwangu mimi wote ni average brain-Peter Msigwa' s tweet 09/06/2015
10. Mtu anayetaka nafasi urais, lazima awe tayari kujipima, kujitafakari, kujiridhisha kuwa anatosha, yeye mwenyewe kwanza, afanye hayo, ajipime , ajitafakari na ajiridhishe kuwa anatosha:
¡ kiafya
¡¡ kiakili
¡¡¡ kimaadili
¡v kidhamira
Lazima ujipime hayo kama unapungukiwa na mojawapo kati ya hayo, hufai, lakini la pili uwe tayari Umma kukupima katika hayo niliyoyataja, uwe tayari Umma ukupime kiafya, kiakili, kimaadili na kidhamira, siyo unajipima tu mwenyewe na unasema , mimi sawasawa, A a a a, na Umma nao ukupime- Fredrick Tluwaye Sumaye
11. CCM mkimpitisha Lowassa nahama Chama-Sumaye
12. Njaa hadi kwenye nyumba za ibada, Wachungaji wa makanisa mbalimbali ya Kikristo wakiandamana muda huu kwenda nyumbani kwa Edward Lowassa kumshinikiza achukue fomu ya kugombea urais. I hope Mapadre hawamo humo. Mungu atuepushe.
Yaani Kanchi ketu haka kanaendeshwa kwa ujanja ujanja na wiziwizi tu. Mtu akiwa na hela zake basi anafanya jambo lolote tu-Julius Mtatiro
13. Lowassa ni dhaifu-MBOWE
14. #KATAALOWASSAKWENDAIKULUJIZIII !-Yeriko Nyerere
 
Alipinga akalazimishwa bila shaka, sasa kwa nini hakujiuzulu?
 
Magufuli hana uwezo wa kupambana na ufisadi ilhali ufisadi ni sera ya ccm atherwise angekuwa nje ya ccm ingewezekana. Maana hata wapiga debe wake wana ukakasi
 
Hekima Kwanza, unataka kuniambia kwamba Ccm walisikiluza hoja za chadema na kumtosa Lowasa? Yaani ulitegemea chadema wamsifu mgombea urais wa ccm aliyekuwa tishio km Lowasa? Ujue kwamba Chadema walushajua mapema Lowasa angepitishwa na ccm upinzani ndio ungekufa kabisa. Liwasa alikuwa tushio. Sada km ninyi mlisikiliza maneno ya adui zenu mtajiju! Waliwatega mkategeka!
 
Chini kutamu sana, magufuli anajua!
Na hili linaonekana ni kweli kwa sababu hata mke wake haandamani naye. Ndoa yao inaonekana imelegalega. Ni Ajabu sana mgombea urais anamficha mke wake!
 
Ninavyofahamu hata Jacob Zuma alipitia sekeseke kama hizi anazipita lowasa mwisho wa siku akawa rais,hata lowasa atakuwa rais pamoja na hayo yooote mnayoongea.
 
magufuli naye ni walewale tu. atapata kura yangu tu kwa sababu hakuna namna.

Hii nchi ilishakumbwa na kashfa nyingi sana za ufisadi. Mfano radar, EPA, Richmond/Dowans, IPTL, Twiga, dawa za kulevya, mauajicya Tembo, Escrow nk. Wabunge wengi wamekuwa wakijipambanua kama wapinga ufisadi na wengine kutetea. Lakini cha ajabu sikumbuki kusikia mchango wowote wa Magufuli katika mapambano na ufisadi. Kinachosikika zaidi ni yeye kuhusishwa na ufisadi au kuitia hasara serikali. Mfano hasara kwenye kubomoa vituo vya mafuta bila kufuata taratibu, samaki wa Magufuli, nyumba za serikali, barabara zilizojengwa chini ya kiwango, riba kubwa ya mabilioni kwa wakandarasi kwa sababu ya kutolipwa kwa muda, pia juzi CAG kugundua upotevu wa mabilioni kwenye wizara yake usiokuwa na maelezo! Je haya makandokando ya Magufuli ndiyo yamemfanya awe kimya kwenye skendo za ufisadi?
 
Hizo nyumba za serikali magufuli nyingi alizigawa kwa ndugu zake na mchepuko yake, serikali imekuwa ikiingia gharama kubwa kulipa fiidia kwa kesi za kukurupuka za Magufuli mfano Meli ya samaki, kituo cha mafuta mwanza na uzembe wa kuchelewesha malipo ya makandarasi hadi wanalipwa riba kubwa na serikali.
 
1. Nawashangaa wanaowachoma moto Vibaka na kumuacha Lowassa akitanua mitaani-Freeman Aikaeli Mbowe;
2. Anayemuunga mkono Lowassa akapimwe akili haraka-Mch. Peter Msigwa
3. Nina ushahidi wa kutosha kuhusiana na Wizi na Ufisadi wa Lowassa na Rostam-John Mnyika.
4. CCM wamempatia Fisadi Lowassa fomu ya kugombea urais. Ni hatari sana-Tundu Lissu.
5. Nimesema kama UKAWA tutamsimamisha fisadi , mna haki ya kututosa-Halima mdee
6. I thought safari ya Matumaini was poorly organized, imekuwa safari ya matumizi
7.Taarifa kwa Umma: Serikali iache kumlinda Lowassa , ni mmoja wa mizizi ya ufisadi wa Richmond. Akamatwe, ahojiwe na achukuliwe hatua za kisheria- Yeriko Nyerere
8. Wakati Mwakyembe na Magufuli wakiwajibika kulitumikia taifa , kuna Mapaka shume yanatembea Makanisani na Misikitini yakisaka urais-Yeriko Nyerere
8. Ni heshima kwa Mungu kumzomea na kumtukana mtu FISADI kama Lowassa-Godbless Lema
9. Pamoja na haki ya kila mtu kugombea urais ,kwa hawa walioomba kutoka CCM, I don't see talent , kwangu mimi wote ni average brain-Peter Msigwa' s tweet 09/06/2015
10. Mtu anayetaka nafasi urais, lazima awe tayari kujipima, kujitafakari, kujiridhisha kuwa anatosha, yeye mwenyewe kwanza, afanye hayo, ajipime , ajitafakari na ajiridhishe kuwa anatosha:
¡ kiafya
¡¡ kiakili
¡¡¡ kimaadili
¡v kidhamira
Lazima ujipime hayo kama unapungukiwa na mojawapo kati ya hayo, hufai, lakini la pili uwe tayari Umma kukupima katika hayo niliyoyataja, uwe tayari Umma ukupime kiafya, kiakili, kimaadili na kidhamira, siyo unajipima tu mwenyewe na unasema , mimi sawasawa, A a a a, na Umma nao ukupime- Fredrick Tluwaye Sumaye
11. CCM mkimpitisha Lowassa nahama Chama-Sumaye
12. Njaa hadi kwenye nyumba za ibada, Wachungaji wa makanisa mbalimbali ya Kikristo wakiandamana muda huu kwenda nyumbani kwa Edward Lowassa kumshinikiza achukue fomu ya kugombea urais. I hope Mapadre hawamo humo. Mungu atuepushe.
Yaani Kanchi ketu haka kanaendeshwa kwa ujanja ujanja na wiziwizi tu. Mtu akiwa na hela zake basi anafanya jambo lolote tu-Julius Mtatiro
13. Lowassa ni dhaifu-MBOWE
14. #KATAALOWASSAKWENDAIKULUJIZIII !-Yeriko Nyerere

{you have run out of ideas} wavivu wa kufikiri tuko wengi
 
Back
Top Bottom