Katika hili Mungu atusimamie

Kweli kabisa, hata mimi mama amenikataza kuolewa na baadhi ya makabila
 
Wachaga ni kabila kubwa lenye vijimambo ndani yake, mrombo vs kibosho, machame vs marangu, mwika vs kirua, et yet wao wenyewee baadhi hawaoanii
Ndoa ni bahati kwa wengine ni changamoto, fanya maamuzi kiutulivuu
 
Unaleta ujima wa kuona kabila moja eh. Kaoe tu kijijini kwenu hakuna anaekukataza
 
Bhn wewe Tanzania ni Nchi huru.... Ndy maana Mkurya wa Bariadi huko anakuja kuoa Mnyakyusa wa Mwakaleli hukooooo..

Tulia tulia
 
Mimi naanza nawachaga wengine endeleeni
 
Kabila nyingine mwenzako akikushikia panga wewe shika jembe, wakati wengine hata kurusha kofi hakuna desturi hizo.
 
Wamachame wenyewe kwa wenyewe wanaogopana,nina mwalimu mchaga (Mmachame) alinifundisha primary ,nilikutana nae mwaka juzi,tumepiga story ilivyofika story za kuoa akanisisitiza kabisa husioe Mmachame. Yaani hata wenyewe wa Machame wanajuana kudadadeki.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…