Katika hili, Marekani imeshamkamata Iran

Du! Kweli bangi sio nzuri.bora viroba vilivyopigwa marufuku maana ungechanganya na viroba ingekuwa ndo balaa zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Story kama hizi nimezoea kuzisikia vijiweni chini ya mwembe
Vijana wakishashiba mihogo ya kukaanga na kushushia maji ya kandoroo..
Zinaitwa story za pwagu na pwaguzii
 
Pole sanaaa [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa unaweza kuwa sahihi kwa namna moja ama nyingine ila watu ndiyo wanashindwa kukuelewa,kuna muda ktk vita unakubali kupoteza ili uje kushinda kirahisi mfano Kagera War IDD Amin Dada aliwavalisha wanajeshi wake gwanda za Tz na kuwaamuru kuvamia waganda wa mpakani na wanajeshi wa Uganda wa mpakani hii yote ni kupunguza ushawishi wa Tz pale mpakani mwa Tz-Ug ,tukija kwa Iran missiles kulipua us bases in Iraq na moja kupanguliwa linawezekana kama mleta mada asemavyo pia inawezekana pia Us kuilipua kwa kutarajia kutengeneza nadharia ya Iran kuwa mhusika ukizingatia Iran alirusha makombora ule usiku, hz ni vita na lolote linaweza fanyika ili US kupata ushawishi mwingi baina ya mataifa jirani na Irani,mfano mwingine ni kipindi cha vita vya somalia ambapo USA alipewa ramani ya kuwa moja ya sehemu ambapo waasi walikuwa wanaficha silaha ila huu ulikuwa mtego wa kumchonganisha US na Wasomali ambapo ingawaje huu mpango ulisacrife maisha ya waasi wenzao na RAIA wa somalia ila lengo lilikuwa ni kumfanya US ashambulie ile sehemu ili waweze kuwaonesha wasomalia kuwa US ni wabaya,sasa michezo ya HV ndiyo anachezewa asipostuka itafika muda hata wale waliokuwa wanamsapoti watashindwa kuonesha sapoti mfano Ghadafi alichukua miaka 30 wakiwa wanamwandikia profile chafu ili waje kumdunda kama mharifu wakati ni njaa ya utajiri wa Libya,TUNAITAJI UMOJA NA UTHABITI WA KILE TUKIFANYACHO ILI TUWEZE KUONDOA UBEBERU DHIDI YETU NCHI ZINAZOANZA KUJIKWAMUA Ila hz blah blah za kupeana matumaini fake ya kusema Iran kidume kisa USA hajajibu mapigo yatatufanya tuendelee kuangushwa na mabeberu pindi tunaposimama #LongLivemy BlessedTz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili nyingi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kama hawakupindisha kombora lakini inawezekana kabisa kama mpigaji kombora ni pandikizi la wamarekani ambae ni raia wa Iran. Iran ndio maana inachukua hatua ya kuwaua mapandikizi wa marekani ambao ni raia wake.

Marekani ndio maana kila nchi wanachukua raia hata kuwasomesha au kujifanya kuwapa ujuzi wa jambo lolote siku wakikuhitaji kazi yao ni rahisi raia wako wenyewe watakugeuka.
 
Ndio, ni mabingwa lakini sio mara zote.

Wanatamani sana wamtoe Ayatollah tangu '79 lakini wameshindwa. Umeshawaza kwa nini?
Jamani mimi naomba msaada kidogo hivi yule Raisi Ahmedinajad yupo wapi siku hizi,na wakati akiwa madarakani huyu Ayatollah naye alikuwa kiongozi?Maana naona mnasema Ayatollah alikuwa kiongozi kuanzia 1979,mimi namjua zaidi Ahmedinijadi
 
Kombora lililo tumika kuiripua hio ndege na makombora yalio tumika kuripua kambi ni makombora ya aina tofauti inasemekan....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hun Hakuna technology ya kupindisha kombora bali Kuna technology ya ku intercept
 
Jamani mimi naomba msaada kidogo hivi yule Raisi Ahmedinajad yupo wapi siku hizi,na wakati akiwa madarakani huyu Ayatollah naye alikuwa kiongozi?Maana naona mnasema Ayatollah alikuwa kiongozi kuanzia 1979,mimi namjua zaidi Ahmedinijadi
Ayatollah yupo toka mwaka 1979 Ila Aliekuepo Kuanzia Mwaka 1979 Ambae Alikua Anaitwa Ruhullah Khomein (Kama Sijakosea spelling) Huyu Wasasa Anaitwa Ayatollag Ali Khamenei Baada Ya Kufa Ruhullah Khomein Ndio Akaja Ayatullah Ally Khamenei Ambae Ndio Yupo Mpaka Sasa Na Hivi Vyeo Vya Hawa Ma Ayatollah Vipo toka Ulipo Kuja Mfumo Mpya Wakuanzia Mwaka 1979 Mpaka Huu Mwaka 2020

Yaani Kiufupi Ayatollah Kama Unavyomuona Malikia Elizabeth Japokua malikia Elizabeth Hua Anateuliwa(Kurithiana) Huyu Ayatollah Hua Anachaguliwa Nabaraza wanaliita lamaulamaa ama wanazuoni wanaomchagua kiongozi muadhwamu wenyewe wanavyomwita Ayatollah Hua Nanguvu Kubwa Zakiamri Kwabaadhi Yamambo Mengi Ila Sio Yote Nayeye Ndio Amiri Jeshi MKUU
Hii kwa ufupi 2 Mkuuu

Wakat wa Ahmedi Nejad Ayatollah Ally Khamenei Alikuwepo Kama kawaida na alikua alifanya kazi zake kama kawaida ila inasemekana kama hawa majamaa hawakuiva vyema maana inasemekanika bwana medi ni jamaa ambae anamisimamo mikali wakati ayatollah ana misimamo ya wastan na ndio maana enzi zile akawika sana bwana medi kuliko ayatollah japokua alikuepo toka medi anaingia madarakani mpaka anaondoka....m

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante sana,nilikuwa namkubali sana Ahmedinijadi,alikuwa anabweka sana pale UN,juzi imebidi nifuatilie,nimekuta huko Twitter kama wa Iran hawamkubali sana kiasi kwamba kuna baadhi ya marafiki wake wa karibu wamefungwa,na wanamlaumu kwa nini hakulaumu mauaji ya Qassim
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…